Unatakiwa Kuelewa Au Kufahamu Kuwa Pesa Ya Halali Hapa Duniani Haipo

Unatakiwa Kuelewa Au Kufahamu Kuwa Pesa Ya Halali Hapa Duniani Haipo

Hubadilika kuwa pesa Halali ikiwa tayari ipo mkononi mwako, njia yoyote ya kuitafuta hata kama ni haramu maandishi yake kamwe hayabadiliki ikiwa tayari iko mkononi mwako.
Ahaa pesa mbele ya watu unatusukuma au tukusake kwa mapanga, nondo, marungu na bastola????
Shiiiiiit!
Kubadilika inabadilika ndiyo, ila haiwezi Kubadilika bila kukufikia kwa njia ya ku force.
 
Bado kuna mengi ya kujifunza kuhusu pesa. Kuna mengi huwa tunaaminishwa kuhusu fedha. Mara anza kuweka akiba, fungua biashara panga bajeti n.k. Ukweli ni kwamba pesa haina huruma kwa mtu mwenye huruma. Pesa ni mali ya mtu asiye na huruma. Sina imani kama naeleweka lakini haya mawazo yaheshimiwe.
 
Bado kuna mengi ya kujifunza kuhusu pesa. Kuna mengi huwa tunaaminishwa kuhusu fedha. Mara anza kuweka akiba, fungua biashara panga bajeti n.k. Ukweli ni kwamba pesa haina huruma kwa mtu asiye mwenye huruma. pesa ni mali ya mtu asiye na huruma. sina imani kama naeleweka lakini haya mawazo yaheshimiwe.
Upo sahihi mkuu, hela haija wahi kuwa na huruma hata siku moja asiyejiongeza.
 
Mafanikio ya watu ni siri ya kwenda nayo kaburini. Pesa ipi halal ni Mungu pekee ndio anajua.
mtu akakubaliana na mwingine kuchimba mtaro wa majitaka, kwa malipo ya kiasi fulani cha pesa na kisha akachimba baad ya kumaliza akapewa pesa waliokubaliana, uharamu wa hiyo pesa ni upi.

JESUS IS LORD&SAVIOR forever
 
Bado kuna mengi ya kujifunza kuhusu pesa. Kuna mengi huwa tunaaminishwa kuhusu fedha. Mara anza kuweka akiba, fungua biashara panga bajeti n.k. Ukweli ni kwamba pesa haina huruma kwa mtu mwenye huruma. Pesa ni mali ya mtu asiye na huruma. Sina imani kama naeleweka lakini haya mawazo yaheshimiwe.
Hii maana ikikamilika we ni Iluminati pure

Subiri Medani yako tukufu ya kujifunza ujeuri bila mipaka
 
Pesa halali zipo acha kudanganya watu

MWENYEZI MUNGU kwa kinywa cha nabii hagai anasema pesa na dhahabu ni mali zake

Mtegemeeni MUNGU MWENYEZI anatoa baraka

Acha upotoshaji kaka
Mifumo ya Sheria ya nchi ya Tanzania hairuhusu mtu kuwa tajiri kwa pesa halali..labda kama wewe hufanyi biashara.
 
Serikali inachukua 12% ya mkeka wa mshindi wa kamari (serikali inabeti) afu hyhy inaenda kumlipa mwalimu au daktari mwisho wa mwezi...... Apo uhalali upo wapi....

Kila nikiwaza kwamba mlevi anamlipa mtumishi mshahara nakosa pozi
 
Back
Top Bottom