Na Sasa hivi wameongeza 0.5% ya makato kwenye betting.( unapo withdraw pesa 0.5% inakatwa)Serikali inachukua 12% ya mkeka wa mshindi wa kamari (serikali inabeti) afu hyhy inaenda kumlipa mwalimu au daktari mwisho wa mwezi...... Apo uhalali upo wapi....
Kila nikiwaza kwamba mlevi anamlipa mtumishi mshahara nakosa pozi
Kweli kabisa na pesa haina hurumaYeah, utabakia kumiliki chenji chenji hizi ndogo ndogo ambazo hazina manufaa.
Ndugu zako hawataki Watanganyika huko visiwani kwenu, vipi ukihamishia hizo investments zako huko visiwani kwenu just in case patakitokea sintofahamu.