Unatakiwa ukae kwa muda gani kwenye penzi jipya kabla hamjapeana utamu?

Zikivuka saa 24 bhas inakuwa boring in the end...

Nenda na wimbi linavyokuja.. Ukizubaa linakupita... Kifuatacho maigizo
Hakuna demu anaetoatoa uchi mapema skuhizi
Kila MTU kamrudia Muumba wake
 
Naulizwa

Muulizaji: money penny, unatakiwa ukae muda gani (siku/miezi mingapi) na mpenzi wako kwenye penzi jipya kabla hamjafanya mapenzi?

Nisije nikalala nae mapema nikakimbiwa. Nisije nikamkazia sana akakimbia, nifanyaje?

Haya mje mumsaidie mwenzenu.
Kukimbiwa baada ya sex means hajafurahia tendo against you,Kuna mapungufu kayaona ambayo si ya kuvumilia hata kama ungechejifanya kuchelewa kusudi usionekane mrahisi.

Ndo palee ambapo kama ikitokea boi akapenda kamchezo against you unashanga love inaongezeka times two hapo ukijumlisha na vitu vingine kama tabia nzuri,usafi wa mwili na mavazi pamoja na roho,kauli nzuri,kujua kupika akili ya maokoto ndo unaingizwa kwenye NDANI na kuwa mke.[emoji16]

Wiki( hapa ndo muda wa kuandaana kisaiklojia kila mmoja akisubiri mwenzake kwa hamu maana ndo mtakutana Kwa mara ya kwanza) na kutafuta eneo zuri la kuenjoy.

Siyo mnakutana nyuma ya nyuma mnainamishana halafu mmoja mbele kama vile kahaba mteja wake[emoji1787]
 
Kukimbiwa baada ya sex means hajafurahia tendo against you,Kuna mapungufu kayaona ambayo si ya kuvumilia hata kama ungechejifanya kuchelewa kusudi usionekane mrahisi.

Ndo palee ambapo kama ikitokea boi akapenda kamchezo against you unashanga love inaongezeka times two hapo ukijumlisha na vitu vingine kama tabia nzuri,usafi wa mwili na mavazi pamoja na roho,kauli nzuri,kujua kupika akili ya maokoto ndo unaingizwa kwenye NDANI na kuwa mke.[emoji16]
Mbona huku mtaani kuna warembo wameolewa lakini NI
1. Vilaza
2. Wachafu
3. Hawajui kutafuta hata 100
 
Huo ni mfano tuu.

Ina depend na needs za mwanaume husika.

Kila mwanaume ana needs zake kwenye swala la wanawake.

Halafuuuu... Nasika Sina hakika lakini.siyo kila mwanamke aliye olewa kaolewa Kwa matakwa ya mwanaume. Wengine ni kwa ndumba,mimba na mengine kama hayo [emoji28][emoji28]
 
wanaume mtafika Mbinguni mmechoka sana
 
Back
Top Bottom