Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Binafsi ningetamani sana kukutana na Paula Paul.

Mdada huyu anaonekana yuko SMART sana, ni miongoni mwa wanawake wachache ninaowakubali JF! Huwa natamani nimuone "LIVE" naamini ata ni "inspire" Sana.

Ila ugumu wa maisha muda mwingine ni kikwazo, unawaza tena nikikutana naye mtu smart kama huyu halafu nikaanza kumshangaa TU sina hata chochote kwenye Wallet si balaa hiyo[emoji1787] usiombe mkutane Mliman City [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] just kidding!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sky Eclat huyu mdada mm daaaaaah, nampenda karibia kufa ila hajui tu. Huwa nachukia nikimwona anashabikia chadema, ila ukiondoa hilo nampenda sana
Kwani unamfahamu? Umejuaje kama ni ke [emoji1787][emoji1787] au ile picha yake ya Oprah hahahhaahha


Ila ni mdada hata mie huwa nafikiri vile

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Na hawa watu wasiojulikana sisi tunaoandika kule siasani ni lazima tuwe extra careful au unaweza kutekwa mchana kweupe usionekane tena. Kuna wakati huwa namshukuru Mwenyezi Mungu kuna watu humu ilikuwa karibu niwafahamu kwa karibu lakini chale ZIKACHEZA!!!
Haya maisha ya wasi wasi ni magumu Sana. Nimejaribu nikasema hell no
 
Back
Top Bottom