Unatamani kumiliki PM ya member yupi JF?

Unatamani kumiliki PM ya member yupi JF?

Demiss Kwa Mara Ya Kwanza ndani ya miaka 6 ya jf nimekesha majuzi pm,nahisi anaongoza kwa kumjibu pm zake,mimi huwa si mpenzi wa pm hata wapo watakaokuja kutoa ushuhuda shombo ninazowapa
Hivi kweli unaweza kesha pm
 
Akiniazima jet ya kurukia usiku itapendeza zaidi.

Nitkuwa naenda kwa Putin kucheki michuano ya FIFA WC na kurudi kuja kulala home hapa Bongo
Unatoka kwenye relii eeeh
 
Weekend ndo imeanza hivyo.
Mishee mishe mtaani zimenoga balaaa wale wapenda bata kama mm tunatafuta viwanja tukajirushe.
Bila kusahau Jf nako kumechangamka kwa Threads mbali mbali huko PM ndo usiseme kabisa.

Mimi nataman kumiliki PM ya HUMBLE Africani na BAK pamoja na kritika.

Nataka nikaone viroja kwenye PM zao.
Yako
 
Demiss Kwa Mara Ya Kwanza ndani ya miaka 6 ya jf nimekesha majuzi pm,nahisi anaongoza kwa kumjibu pm zake,mimi huwa si mpenzi wa pm hata wapo watakaokuja kutoa ushuhuda shombo ninazowapa
Hahahahaha basi huyu member ni Platinum
 
Kweli Dunia imebadilika mpaka kuwabadilisha walimwengu. Zamani wanawake walikuwa wanajiheshimu sana na ukijumuisha na uoga wao hakika maisha yalikuwa poa sana.

ila hawa wa leo usishangae anakulazimisha umpige kazi hata kama humpendi na hamjawahi kuonana ila mnawasiliana tu kwa njia ya mtandao
Unaongea kwa exprience au hearsay tu ?
 
Back
Top Bottom