Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba hiyo fursa nikuonyeshe kama naweza au siwezUtaiweza kweli?maana majuzi,juzi jana afadhali nlikuwa nakesha pm aisee sikuwaza kuwaza kuwa naweza kesha pm ila nafurahi kwa mda nliompatia huyo kiumbe
Akiniazima jet ya kurukia usiku itapendeza zaidi.Una uhakika gani wewe Mwifwa unataka kurogwaaa eeeh
Madam nasikia una mpango wa kumiliki pm ya Mshana jr![emoji53][emoji53][emoji53]
Hivi kweli unaweza kesha pm
nipe nione unavyodekaNikupe nywila
Nataka nione swaga za watu wanaokutongoza na mimi nikazitumieKwanini?
YakoWeekend ndo imeanza hivyo.
Mishee mishe mtaani zimenoga balaaa wale wapenda bata kama mm tunatafuta viwanja tukajirushe.
Bila kusahau Jf nako kumechangamka kwa Threads mbali mbali huko PM ndo usiseme kabisa.
Mimi nataman kumiliki PM ya HUMBLE Africani na BAK pamoja na kritika.
Nataka nikaone viroja kwenye PM zao.
Umeona eeeh unabaki unajishangaaa tu
Unaongea kwa exprience au hearsay tu ?Kweli Dunia imebadilika mpaka kuwabadilisha walimwengu. Zamani wanawake walikuwa wanajiheshimu sana na ukijumuisha na uoga wao hakika maisha yalikuwa poa sana.
ila hawa wa leo usishangae anakulazimisha umpige kazi hata kama humpendi na hamjawahi kuonana ila mnawasiliana tu kwa njia ya mtandao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]MP..?!mdomo wangu umebaki wazii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahah Humble African na Mr Miller njoeni huku mjibu mashtakaPlease tag humble african na mr miller,natamani nipate nywila zao halafu wale madem zao niwape vibuti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unacheka nn eti shem?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]