Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

Koma we mtoto...

Unajua mama yako alikuwa gelofrendi wangu?? Kama si babu yako kuweka ngumu kwenye mahari leo wewe ungekuwa mwanangu...

Shauri zako
Ujikute tu.Siku hizi huna adabu wewe kijana yani baada yakuongezewa mkopo umeishajiona ni mkubwaaa?
 
Si kosa lako. Malezi ya kudekezwa na babu yako ndo yamekufanya hivyo...

Nipigie kama jana basi nikutongoze
Huna adabu wewe mtoto yani unitongoze mie ajuza huoni hata aibu?mie si umri wa mama yako mkubwa jamani?
 
Back
Top Bottom