Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Shukraan JazeelanIn sha Allah kheir.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukraan JazeelanIn sha Allah kheir.
Hahaaaaaa
hahahahahahaah nimewaza tu,cku mtakayo jumuika pamoja kupata huo msosi walahi mtapigwa njiti na kibiriti ama sivyo mto ruvu utawahusu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo mtafute makaburini mida ya saa 8-9 usiku
Mkuu....Bibie Lizaboni.
Nilifika ila sikukuona[emoji24] [emoji24]
uliponikosa ulienda wapi?
Sasa nisipopenda pesa nitapenda nini?
Wa1 ninani?punguza kidogo nitakuoa uwe mke wa pili
Wee nikimbie tena wakati nitafurahi sana.Nakuja,nitakutafuta usikimbie tu.
Hivi kumbe ni mwanamke huyo?Bibie Lizaboni.
Hapana sipunguzi, oa kwanza mie nitakuwa wa4.punguza kidogo nitakuoa uwe mke wa pili
Ndio, kumbe ulikuwa hujui?Hivi kumbe ni mwanamke huyo?
[emoji15] [emoji15]Miss chaga natamani nimuonje
mke wangu wa kwanza ni katoto mpenda pesaWa1 ninani?