Unatambua nini kuhusu hizi picha mbili za Rais Putin?

Unatambua nini kuhusu hizi picha mbili za Rais Putin?

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Hapo Rais Putin na Macron wa ufaransa wakiwa Russia Vita ilikuwa imeanza ukraine

images.jpeg

Hapa Putin na mwenyekiti wa AU -Africa united wakiwa Russia ilikuwa jana
32fd302a-2c40-40b4-a2e2-8b40a52c20c8.jpg
 
Hapo Rais Putin na Macron wa ufaransa wakiwa Russia Vita ilikuwa imeanza ukraine

View attachment 2249960
Hapa Putin na mwenyekiti wa AU -Africa united wakiwa Russia ilikuwa jana
View attachment 2249962
Putin the Godfather of the World
Hapo ukute huyo rais wa AU ameenda kuomba msaada dhidi ya uharamia wa Ufaransa na Francophone uko katika makoroni yake ya zamani Afrika ya Magharibi
 
RAIS SALL: URUSI IMEONESHA NIA YA KURUHUSU USAFIRISHAJI NAFAKA AFRIKA

Rais wa #Senegal na Mwenyekiti wa AU, Macky Sall amesema Rais Vladimir Putin ameonesha utayari wa kuruhusu mauzo ya nje ya nafaka za Ukraine ili kupunguza makali ya janga la chakula

#RussiaUkraineWar https://t.co/04FVxGTfJv
 
Kuna watu wanamunderestimate putin lakini ukitaka kujua shughuli yake ni viongozi kupishana kwenda Urussi wengine wanaenda kumuombea msamaha Ukraine wengine kuomba gas wengine kuomba mafuta wengine msaada wa kijeshi wengine kuomba msosi dunia itakubwa na njaaa Viva putin
 
Hapo Rais Putin na Macron wa ufaransa wakiwa Russia Vita ilikuwa imeanza ukraine

View attachment 2249960
Hapa Putin na mwenyekiti wa AU -Africa united wakiwa Russia ilikuwa jana
View attachment 2249962
Siku zote mtu mwenye roho yakuchukia uonevu lazima atasimama mwenyewe na kusemewa uongo na kila aina ya uchafu na chuki! Wengi tunaonewaga sababu hatuna ubavu ila ni wa kweli!
Sasa kwa Russia ni tofauti, hapendi uonevu, ni mkweli alafu ana ubavu sasa!
 
Back
Top Bottom