Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Elsewhere!where?Next time ukome kuparamia watu mwehu wewe!
Pick your struggle elsewhere! nosense!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pick your struggle elsewhere! nosense!
Hamna lolote, si hao ndio wanasemaga kwamba waafrika ni manyani. Umewahi kuona wachezaji weusi wanavyo kejeliwa wanapocheza mpira Russia.
Wanamuogopa sana huyu ngozi nyeupe mwenzaoWazungu huwa wanamuogopa huyo bosi wa KGB. Niliona clip Kuna viongozi wanaogopa hata kushikana nae mikono
Scramble for Africa - Phase IIPutin anataka kujenga mahusiano mapya na nchi za afrika na kuifungulia fursa mpya nchi ya urusii ameshaona nchi za magharibi ni kirusii
Actually huwa wanaona skeleton na vifaa vya chuma alivyobeba mtu, japo hawana njia ya kuona biological weapons alizobeba mtu, ambazo mbebaji anaweza kuwa immune nazo! 😅Paka ni mwepesi kama unywele kwa Putin.
Nakuhakikishia ma fsb wakitaka wanaweza wakamuona akiingia mlangoni akiwa uchi wa nyama wakati akiwa amevaa nguo.