hawa watoto sidhani kama wanatoka familia masikini, wote wana uniform tena mpya, wote wana viatu kasoro mmoja ana yeboyebo na kawekwa mbele makusudi kutimiza lengo la mpiga picha, na haiwezekani shule ikawa na madarasa mawili tu, haiwezi kuruhusiwa kudahiri wanafunzi, hii picha ilipigwa kwa nia ovu tu, na kwa aina ya uniform sio tanzania, uniform zetu ni shati jeupe na skert na sio gauniView attachment 3079841
Lakini hii👆 inaonyesha ni Tanzania Watoto kusomea chini yaa Mwembe.