Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

huko si ni kwao lissu mbona hachangishi hela ya kununua ambulance badala yake anachangisha pesa za kununua gari lake binafsi la kutembelea, muwe masikini kwa misimamo ya kipuuzi msingizie serikali
Huna akili.
 
Inasikitisha sana
Inasikitisha Sana
Mtalaumu watu tuu lakini tatizo linatengenezwa na CCM wenyewe ndio ina wafanya watanzania wanaendelea kuwa vilaza
Mkuu unamtoa alafu unampeleka wapi?

Hapo ndio shule inayopatikana hakuna mbadala
Wanayoyafanya hayo maunyama na maukatili wana Maisha mazuri mno! Watoto wao wanaishi kama wapo peponi aisee!
Habari hii ni ya Kenya wazee ..2019 hukoo..
Acheni uchochezi .
 
Usimchimbe Luka... Luka ana koneksheni mwenzako, halafu jamaa ni Baba paroko. Yaani hana demu, hana mke na hamjui mwanamke... (Luka ni bikra) Badala ujipendekeze uwe demu wake, umuonjeshe luka asali anogewe akuoe kabisa na wewe uwe rich wife unamchimba.

Haya usiseme hatukukuambia

Lucas Mwashambwa mchumba huyo... Sema nae, mtunuku makoneksheni mtoto awe rich gelofrendi 😁👍
Aisee nitajikomba niwe gelo frend rich
 
Umeona mazingira hayo wansyosomea watoto? Au unaandika tu kwa sababu ya roho ya ushetani iliyokujaa ndani yako mkuu?
Madam una hasira, ila nyie ndo mnawaibiaga CCM kura lakini naamini sio wewe😂😂😂
 
🤣🤣🤣 🤭 Niache bhana!
sikuachiii😂😂😂😂nyie ndo mnatuingiza hasara, kuna jamaa yangu yuko hapo K.K.K(kimo kijiji Kitulivu) namsemaga kila siku😂😂😂
 
Ni kawaida ya binadamu (hulka)kupambana na 'hali mbaya'...hali ikishakuwa njema/nafuu sio habari tena.
Ni wewe unayesema hivi ukiwa na uelewa mpana wa masuala mengi. Huyo aliyeziweka hizo picha sidhani kama analo lengo zuri.

Yanafanyika mengi sana mazuri yenye hadhi ya kupigwa picha na kuzionyesha kwenye mitandao ya habari kama huu tunaotumia.

Kuweka picha zenye lengo la kujicheka sisi wenyewe ni utoto fulani.
 
sikuachiii😂😂😂😂nyie ndo mnatuingiza hasara, kuna jamaa yangu yuko hapo K.K.K(kimo kijiji Kitulivu) namsemaga kila siku😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 Tulia bhana
 
Ni wewe unayesema hivi ukiwa na uelewa mpana wa masuala mengi. Huyo aliyeziweka hizo picha sidhani kama analo lengo zuri.

Yanafanyika mengi sana mazuri yenye hadhi ya kupigwa picha na kuzionyesha kwenye mitandao ya habari kama huu tunaotumia.

Kuweka picha zenye lengo la kujicheka sisi wenyewe ni utoto fulani.
yaani we acha tu mtu anachukua habari za kilifi kenya anatuletea hapa halafu anashupaza shingo ka degedege, au ndo zinatafutwa picha za kumpelekea balozi wa us,
 
Mkuu unamtoa alafu unampeleka wapi?

Hapo ndio shule inayopatikana hakuna mbadala
Nampeleka nyumbani atajifunza kuchunga ngombe na kukamua maziwa. Hizi skills hata waliofika ngazi ya PhD hawana japo wanalipia maziwa kila siku
 
1724563830584.jpeg.jpg

Hii PIcha imebainika kuwa sio Tanzania ni Kilifi Kenya.
eddy
 
1724563932946.png

Lakini hii👆 inaonyesha ni Tanzania Watoto kusomea chini yaa Mwembe.
 
10 best students huwa wanaitwa wizarani nakupewa zawadi, hata mandonga aliitwa bungeni na akazawadiwa alivyoshinda,
Itafikia hatua hata wezi na wabadhirifu wakubwa wataitwa huko kutambulishwa maana wameshindwa kuwabana
 
View attachment 3079841
Lakini hii👆 inaonyesha ni Tanzania Watoto kusomea chini yaa Mwembe.
kwa.mwonekano wamekaa kama wameshurutishwa hawako happy, kwa muda huo wanapaswa kuwa wanacheza uwanjani, kwa umri hawa ni chekechea, kimsingi katika shule zetu hamna madarasa ya chekechea, kwani hawapo katika mfumo wa kitaaluma, maranyingi hu share madarasa na darasa la kwanza, kwahiyo kuwepo chini ya mti sio kwa ajili ya kukosa madarasa wala dawati, ni carticulam ya shule
 
Back
Top Bottom