Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Single Digit IQ, ndiyo sifa ya viongozi wetuWatanganyika jambo pekee wanalothamini ni Simba na Yanga tu.
-Iba kura wataishia kumwachia Mola
ILA
- kata umeme uwezavyo
- Weka Sheria kandamizi uwezavyo hakuna shida wataishia kulalamikia vyooni tu.
USIGUSE Simba na Yanga zao, tu
Tena chukua Kodi zao nunua kila goli kwa mamilioni ya fedha hakuna tatizo watafurahi mno.
hiyo shule iko kenya inaitwa mangololo primary school na hiyo picha ilipigwa 2019 na shule ilishajengwa upyaYaaan kuna watu hujifutahakili ingali wanaelewa kizungumzwacho kuhusu hao walio kwenye maji juu kavunga kang'ang'anana wachini ya muembe ili atetetee ujinga wake na ndo watu hao tunaowategemea kulitetea taifa kaz tunayo.Haangalii hoja ye anaangalia kosa dah Tanzania nchiyangu watu wako watakua lini?
10 best students huwa wanaitwa wizarani nakupewa zawadi, hata mandonga aliitwa bungeni na akazawadiwa alivyoshinda,Hivi kwanini kila mwanafunzi aliyepata one ya point 7 asipewe milioni tano?
Hapo kwenye kutapanya pesa kwa wanamichezo naiona siasa kuliko kukuza vipaji na ushindani
Anza na picha ya kwanzasijui lengo lako ni nini? au ni msg gani unataka ku share, lakini kama ni madarasa yale majengo meupe si ni madarasa, sie wakati tuko shule after lunch tulikuwa tunakaa chini ya mtu tukifundishwa nyimbo na michezo mbalimbali, sasa kukaa chini haimaanishi ni umaskini, ni teaching technics tu
hiyo picha ya 2019 na ni kenya sio tanzania na ilishajengwa upyaAnza na picha ya kwanza
Eee hapo sawa kwapamoja yapaswa tutetee taifa.Ukionakitu fwatilie tusipende kutetea hoja bila msingi wa kimaadili na taifa.Uchawa ndo unauwa nguvu kazi ya taifa .Tunawahukumu wanaoua na kunyanyasa raia kimaadili na kingono(Ukatili).ila wakiwa maskini matajir aaah.Ila wako wanaofanya ubaya uliopita viwango na wakajifunika ndani ya bendera ya nchi yenye amani na kuficha ubaya waohiyo shule iko kenya inaitwa mangololo primary school na hiyo picha ilipigwa 2019 na shule ilishajengwa upya
View attachment 3079377View attachment 3079378View attachment 3079381
wasikuchanganye boss
Nakubaliana na wewe kwenye hilo kwamba pesa zinatumika vibaya na vipaumbele vya msingi havizingatiwi,It doesn't help anyway. The central issue is kutapanya hela za walipa kodi
Kwamba siyo za hapa? Nimecheki sana. Au unadanganywa na madarasa ya nyuma yanayoonekana mazuri? Fine madara yamejenga (and obviously hayatoshi as usual). Sasa unatumia mabiioni kwenye "ujinga" wakati madarasa mazuri hayana madawati (desks). It does not make any sense in terms of the use of meagre resources we have!matumizi ya picha ambazo hakuchukua hata dk 1 kufanya background check
nakwambia muuliza mama yako, ananijua sana tena sana. wewe huyo unayemuita baba yako ni wa kufikia, baba yako ni mimi! FULL STOP!Makhanithi kama wewe ndo huwa mnajitahidi kweli kuonyesha eti na nyie mna uwezo wa kuzaa. Wazazi wenyewe wako kimya khanithi wajitangaza. Haikusaidii, rudi tu kwa basha lako
mkuu hizo picha ni kenya na za mwaka 2019 wasikuchanganye boss, sasa hivi hakuna mtoto anayechangishwa hela ya dawati, na madarasa ni mengi kuliko mahitaji hela za covid19 zilitumika kwa ufasaha na chenji bado ipo, kama ni upungufu itakuwa ni uzembe tu mwalimu mkuu na afisa elimu wakeKwamba siyo za hapa? Nimecheki sana. Au unadanganywa na madarasa ya nyuma yanayoonekana mazuri? Fine madara yamejenga (and obviously hayatoshi as usual). Sasa unatumia mabiioni kwenye "ujinga" wakati madarasa mazuri hayana madawati (desks). It does not make any sense in terms of the use of meagre resources we have!
Huo mchezo kafundishwa na Magufuli.Samia aache mchezo wa kuchezea pesa.
Picha ya watoto wadogo kukaa chini ni kawaida wakiwa shule kwani sioni shida mana me mwenyewe shule tumesoma madarasa yapo mengi ila kuna muda mwalimu anawatoeni nje mnakaa hivyo anawafundisha kuandika chini, au kuimba pamoja au michezo, angalia background madarasa ya kisasa kabisa yanaonekana.Kwamba siyo za hapa? Nimecheki sana. Au unadanganywa na madarasa ya nyuma yanayoonekana mazuri? Fine madara yamejenga (and obviously hayatoshi as usual). Sasa unatumia mabiioni kwenye "ujinga" wakati madarasa mazuri hayana madawati (desks). It does not make any sense in terms of the use of meagre resources we have!
Bado una point mfu.mkuu hizo picha ni kenya na za mwaka 2019 wasikuchanganye boss, sasa hivi hakuna mtoto anayechangishwa hela ya dawati, na madarasa ni mengi kuliko mahitaji hela za covid19 zilitumika kwa ufasaha na chenji bado ipo, kama ni upungufu itakuwa ni uzembe tu mwalimu mkuu na afisa elimu wake
Sisi hatujipendi…. And we hate anything progressive about ourselveshiyo picha ya 2019 na ni kenya sio tanzania na ilishajengwa upya
View attachment 3079382View attachment 3079383
SIYO AKILI MUAFAKA KUFANYA HIVI ENZI YA COMPUTER TODAY! The world is moving to AI, wewe unaleta habari ya kukaa chini kweli? Does that make sense?mana me mwenyewe shule tumesoma madarasa yapo mengi ila kuna muda mwalimu anawatoeni nje mnakaa hivyo anawafundisha kuandika chini,
Zile zile akili za lawama ambazo ni za kimaskini sana. Ni sawa uende USA halafu ukaacha kupiga picha yale maeneo mazuri ya white house na New York halafu ukatafuta kupiga picha wale watu wanaolala ndani ya maboksi pembeni ya maduka halafu ukajenga picha kuwa hiyo ndio hali halisi ya USA.
Wazazi wao wako chini ya mwembe wakimsubiri M/K wa ccm awagawie kanga kofia na tisheti za ccm zilizoandikwa "NANI KAMA MAMA"