JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Wakae walime halafu bei upange wewe au sio!? Hata Sasa free education inawezekana. Mbona Pesa Nyingi TU mnaiba huko juu kwenye vyeo, na ma_vyeo uchwara ya kichawa kinao TU yakichoma Kodi za hao Raia!?cleopa msuya akiwa waziri mkuu alisema kila mtu abebe msalaba wake, ni huruma za JK akatoa angalau free education sasa ndo umekuwa upuuzi wa watu, tuondoe free education kila mtu alipe ada ya mwanae huwezi mpe kazi ya kuchunga ngombe au mkae mlime