Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

cleopa msuya akiwa waziri mkuu alisema kila mtu abebe msalaba wake, ni huruma za JK akatoa angalau free education sasa ndo umekuwa upuuzi wa watu, tuondoe free education kila mtu alipe ada ya mwanae huwezi mpe kazi ya kuchunga ngombe au mkae mlime
Wakae walime halafu bei upange wewe au sio!? Hata Sasa free education inawezekana. Mbona Pesa Nyingi TU mnaiba huko juu kwenye vyeo, na ma_vyeo uchwara ya kichawa kinao TU yakichoma Kodi za hao Raia!?
 
Kunanchi Zina leaders (viongozi) na nyingine zina maviongoz!!
Unaibeba wasanii kilamahali mara Korea,mara ulaya tunawaza uchaguzi wakusifie kwenye kampeni tena unatumia mabilioni huku wanafunzi na walimu wanashinda njaa mashuleni na kukaa chini!! Stu pedi
 
kwani sio stahiki zake? huyu ni amiri jeshi mkuu, hatasie tulivyokuwa jeshini tulipewa hadi chupi, hizo ni stahiki zake
Stahili zake sawa! Wanatoa familia yake!? Au Kodi za Raia!?
 
Debunked..
Hizo picha shule hiyo HAIPO Tanzania ni Kenya..inaitwa mangororo primary school na hata hivyo hizo picha zilipigwa mwaka 2019,
Kwenye attachment angalia zote before and after maboresho..

Simple Google lens search utapata ukweli
 

Attachments

  • img-20191005-wa00006224446447233982119.jpg
    img-20191005-wa00006224446447233982119.jpg
    130.8 KB · Views: 2
  • 1724563830584.jpeg
    1724563830584.jpeg
    77.8 KB · Views: 2
  • img-20191005-wa00251191949383688588274.jpg
    img-20191005-wa00251191949383688588274.jpg
    152.3 KB · Views: 2
  • img-20191005-wa00261517131095208424076.jpg
    img-20191005-wa00261517131095208424076.jpg
    147.6 KB · Views: 2
  • img-20191005-wa00283200087187278367931.jpg
    img-20191005-wa00283200087187278367931.jpg
    92.2 KB · Views: 2
  • img-20191005-wa00278830449986537521867.jpg
    img-20191005-wa00278830449986537521867.jpg
    159 KB · Views: 2
muulize mama yako kama mimi ni mavi... ulipatikana na mavi kama ni hivyo !
Makhanithi kama wewe ndo huwa mnajitahidi kweli kuonyesha eti na nyie mna uwezo wa kuzaa. Wazazi wenyewe wako kimya khanithi wajitangaza. Haikusaidii, rudi tu kwa basha lako
 
Mkuu ni ujinga, yaani kutokujitambua. Ni CCM imewafanya hivi. Unajua hata mtaani watu sasa hivi wanaamini kuwa kusapoti chama cha siasa au kujihusisha na siasa ni kuwapa faida viongozi. Yaani watu hawaoni correlation kati ya maisha yao ya kila siku na uongozi wa nchi.
Ni wengi sana ambao wakiambiwa maisha ni magumu kwasbb ya uongozi mbovu wanauliza ..."kwani serikali gani duniani huwa inawapa hela wananchi wake?"
 
Kwa hiyo kwa kuwa hao wengine hawakuyamaliza matatizo, kwa hiyo yeye ndio ayaache yaendelee!? Au !?
No, nlitaka tu tusijisahaulishe kuwa matatizo hayajaanza kwa huyu Mama kama wengine wanavyotaka tuamini.
Ni kwamba huyu Mama kapunguza sana shida za watoto mashuleni kuliko watangulizi wake wote
 
Debunked..
Hizo picha shule hiyo HAIPO Tanzania ni Kenya..inaitwa mangororo primary school na hata hivyo hizo picha zilipigwa mwaka 2019,
Kwenye attachment angalia zote before and after maboresho..

Simple Google lens search utapata ukweli
hizi picha na maelezo mod wayapandishe juu kwenye heading kuweka mambo sawa
 
No, nlitaka tu tusijisahaulishe kuwa matatizo hayajaanza kwa huyu Mama kama wengine wanavyotaka tuamini.
Ni kwamba huyu Mama kapunguza sana shida za watoto mashuleni kuliko watangulizi wake wote
kabisa, sasahivi kero zilizopo zinamalizwa na akina makonda tu na nyingi ni dosari wala sio matatizo
 
..mimi nimemshangaa alivyowakatia Wamaasai huduma za kijamii, halafu anakula raha na wasanii kwao Kizimkazi-Zanzibar.
 
Mambo mengine hata ukiwa chadema tusiyakubali kwa hili namuunga mkono Rais Samia. Ukosoaji huu ni wa kifala.
 
ndo nakuuliza kukaa chini maana yake ni umasikini? msikitini si watu wanaswali wamekaa chini mbona hamsemi, kwenye mikutano ya tundu lissu siwanamsikiliza wamekaa chini nako ni umasikini? na aliyekulisha upumbavu kuwa kukaa chini ni umasikini?
Kukaa chini ni umasikini kukaa kwenye mkeka siyo umasikini
 
Debunked..
Hizo picha shule hiyo HAIPO Tanzania ni Kenya..inaitwa mangororo primary school na hata hivyo hizo picha zilipigwa mwaka 2019,
Kwenye attachment angalia zote before and after maboresho..

Simple Google lens search utapata ukweli
It doesn't help anyway. The central issue is kutapanya hela za walipa kodi
 
Inaumiza sana watoto kukaa kwenye madarasa ya miti chini ya matofali wakati huo rais ananunua goli la Mpira Moja milioni Tano.Kwa Nini hizo Hela anazotapanya hovyo kutoka BOT akazielekeza kujenga shule?
 
ndo nakuuliza kukaa chini maana yake ni umasikini? msikitini si watu wanaswali wamekaa chini mbona hamsemi, kwenye mikutano ya tundu lissu siwanamsikiliza wamekaa chini nako ni umasikini? na aliyekulisha upumbavu kuwa kukaa chini ni umasikini?
Hizi hoja ni za kichaa pekee.Hayo mazingira unaona siyo masikini?
 
sijui lengo lako ni nini? au ni msg gani unataka ku share, lakini kama ni madarasa yale majengo meupe si ni madarasa, sie wakati tuko shule after lunch tulikuwa tunakaa chini ya mtu tukifundishwa nyimbo na michezo mbalimbali, sasa kukaa chini haimaanishi ni umaskini, ni teaching technics tu
Sisi tulikuaga tunatoka darasani tunaka chini kufundishw kuanza kuandika, hatukuandika kweny madatar moja kw moja, tulianza chini kila mtu anampa kijispace mwenzake alaf mwalim yup mbele na ubao mnafundishw kuanfik heruf moja moja then walim walivoona tyr tukaw sas hatukai ten chin ya muemb tunaingia darasn tuna andik kwe madaftr kwa pensel.
Usiwashangae watz nd walivyo kuhukum mambb bila kujua uhalisia wake au undani wake
 
kuna majengo meuoe naamini yaho ni madarasa, kukaa chini ya mwembe hatujaanza leo, watoto wamekaa chini ya mti wakiimba nyimbo, wazee wamekaa chini ya miti wakifanya vikao vya kimila, kama ulizaliwa ukakuta kochi kwenu kiti kanisani stuli bar kiti ofisini basi mshukuru mungu na usitukane wasiokuwa navyo, kumbuka kuna wanaoswali barabarani pale msikiti wa kwamtoro kwani na nafasi ndani imejaa haimaanishi ni wapumbavu
Yaaan kuna watu hujifutahakili ingali wanaelewa kizungumzwacho kuhusu hao walio kwenye maji juu kavunga kang'ang'anana wachini ya muembe ili atetetee ujinga wake na ndo watu hao tunaowategemea kulitetea taifa kaz tunayo.Haangalii hoja ye anaangalia kosa dah Tanzania nchiyangu watu wako watakua lini?
 
Back
Top Bottom