Unatarajia kumpa nini mpenzi wako Januari hii?

Ili mzichezee zitoke watuzike, akuuuu😂

Viboksa bana vinawatosha
Nyie wenye mshahara wa million 2 mume mshahara laki 3, Bado utataka laki 3 ya mume, ndo mtugee zawadi, heehee wanawake wengi wakitoa zawadi kwa wapenzi wao, kwenye akili Yao ni wametoa hela kwenye sehemu ya ile hela waliowahi pewa na waume zao, au utakuta ameplan akikupa zawadi ya tsh elf 7 after 3 weeks utailipia elf 25, coz atakupiga mzinga wa elf 25 arudishe elf 7 yake na faida juu Lenie
 
Sasa usipomhudumia mwanamke wako unataka nani amhudumue jamani.

Af wanawake hatunaga hela mbona, hatujawahi kuwa na hela sisi
 
Nakuhudumia kipesa, hadi Dubai nakupeleka na gari nakununulia, lakini huna hisia na mimi (sikuvutii kingono), pesa zangu na wewe unamhonga bodaboda unaempenda, mwee Lenie
 
Kama wewe ni mtu wangu kwanini nisikupende.

Nitakupenda Sana tu
 
Back
Top Bottom