Unatarajia kumpa nini mpenzi wako Januari hii?

Unatarajia kumpa nini mpenzi wako Januari hii?

Kuna wametumia hayo mafamily planning leo wanahaha kutafuta watoto wanaishiwa kuchapwa na mtoto hola, mganga anasema akiingiza rungu alililopaka dawa anasokomeza kwenye kizazi basi kizazi kitapokea mimba 😂😂😂
😄😄, kuna ka ukweli hapa mkuu,, kila msela ataenda kwa gear ya "Mi nauwezo wa kukupa mimba" na waganga wa kienyeji hupeleka sana mioto kwa waschana wa namna hiyo.
 
😄😄, kuna ka ukweli hapa mkuu,, kila msela ataenda kwa gear ya "Mi nauwezo wa kukupa mimba" na waganga wa kienyeji hupeleka sana mioto kwa waschana wa namna hiyo.
Mademu wengi wamemegwa na waganga wa kienyeji kiboya kumbe alikuwa history yake alikuwa anatumia dawa za family planning umefika wakati anataka mtoto mambo yanakuwa magumu
 
Back
Top Bottom