Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Nampa nyumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtulie bwana sie hatuna hela🤣🤣😂umepigaje hapo
🤣🤣🤣🤣🤣Niwe mume bora kwako, hiyo sio zawadi tosha mama?
Kama sio mke mpe ukuni tu, utanishukuruUnampa nini rafiki yako wa kike/kiume,
Amini, mapenzi ya siku hizi jitahidi sana uwe upande wa "NAKUPENDA PIA"Isije baada ya mda, tuaze kuongea pekee etu njiani. 😀,
Mungu akipendaAsante kwa Swali zuri Mkuu.
Mimi nimepanga Kumpa MIMBA/UJAUZITO.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
😀😀😀 Mkuu, safari haikuazia huku kweli 🤔NimefanikishaView attachment 2855969
Ajichanganye aingie geto😀,Na vumbi la Mkongo umeshamuandalia kabisa nini?
Mimba na MsongoTayari January inakaribia, Unampa nini rafiki yako wa kike/kiume, mwezi huu wa kwanza ili ajisikie kuwa anachumbiana na mtu anayempenda, na pia ajisikie muhimu na maalum kwako, utampa nini? Ni pesa taslimu au zawadi?
View attachment 2855298View attachment 2855300
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante kwa Swali zuri Mkuu.
Mimi nimepanga Kumpa MIMBA/UJAUZITO.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Ndo lengo langu ili ikibidi afe nayo kabisa.Hapo mimba itadumu kweli mkuu, naskia mwanamke mwenye stress mimba huharibika.. 🤔🤔