DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
N
Ntampa zawadi ya kitabu cha The mountain is you ili asome na ajue kuwa hayo maisha ya kuomba omba na umasikini kayachagua yeye mwenyewe na sio laana ya ukoo au ukosefu wa Elimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!!!Wamesema hii thread, haiwahusu. 😄
🤔, Labda kama ni mke sawa, ila kama ni temporary wife, ataona unazingua.NView attachment 2855809Ntampa zawadi ya kitabu cha The mountain is you ili asome na ajue kuwa hayo maisha ya kuomba omba na umasikini kayachagua yeye mwenyewe na sio laana ya ukoo au ukosefu wa Elimu
Maarifa ndo zawadi ya muhimu yakumpa MTU na sio materials things tunaishi katika dunia ya watu smart🤔, Labda kama ni mke sawa, ila kama ni temporary wife, ataona unazingua.
Muone 🤣🤣🤣Tutatoa mbegu nyingi tu next year, get your nanis ready for sho😂
NdiwoooYeah, usafi good good,
nafikiri maswala ya kufuatilia mipaka ya mashamba yatanibana kijana wanguHapana mkuu, hata wewe unaweza mnunulia mama watoto gauni fulani hivi amazing,
Hapana mkuu, kwa sasa nipo likizo, mpaka mwez wa kwanza. 😄Hata ndugu unaweza ukawaPA, mkuu kwani wewe ni CHAPUTA? 😀