Hapana ni makavu, pakavu sitoi kitu๐Hutoi chochote mkuu? ๐ค
Hata ya kwako ni ngumu kiongozi ๐ kwani kuna tatz eti cocochanel
Hakuna yule mbwa nataka afe kwa uchungu wa kukata roho plus wa kuzaa.๐ข๐ข, Unafanya kisasi kikubwa sana, Punguza adhabu mkuu... ๐ฅถ๐ฅถ
Nyie wenye mshahara wa million 2 mume mshahara laki 3, Bado utataka laki 3 ya mume, ndo mtugee zawadi, heehee wanawake wengi wakitoa zawadi kwa wapenzi wao, kwenye akili Yao ni wametoa hela kwenye sehemu ya ile hela waliowahi pewa na waume zao, au utakuta ameplan akikupa zawadi ya tsh elf 7 after 3 weeks utailipia elf 25, coz atakupiga mzinga wa elf 25 arudishe elf 7 yake na faida juu LenieIli mzichezee zitoke watuzike, akuuuu๐
Viboksa bana vinawatosha
Sasa usipomhudumia mwanamke wako unataka nani amhudumue jamani.Nyie wenye mshahara wa million 2 mume mshahara laki 3, Bado utataka laki 3 ya mume, ndo mtugee zawadi, heehee wanawake wengi wakitoa zawadi kwa wapenzi wao, kwenye akili Yao ni wametoa hela kwenye sehemu ya ile hela waliowahi pewa na waume zao, au utakuta ameplan akikupa zawadi ya tsh elf 7 after 3 weeks utailipia elf 25, coz atakupiga mzinga wa elf 25 arudishe elf 7 yake na faida juu Lenie
Nakuhudumia kipesa, hadi Dubai nakupeleka na gari nakununulia, lakini huna hisia na mimi (sikuvutii kingono), pesa zangu na wewe unamhonga bodaboda unaempenda, mwee LenieSasa usipomhudumia mwanamke wako unataka nani amhudumue jamani.
Af wanawake hatunaga hela mbona, hatujawahi kuwa na hela sisi
Zawadi ni zile zile, viboksa na engachifu
Itapendeza sana...
Kabeeesa watoto ni baraka!Itapendeza sana...
Hiyo zawadi inahusisha matusi... ๐Kabeeesa watoto ni baraka!
Missing you too dear๐คLenie, missed ya
๐๐บ๐บ๐บ!Hiyo zawadi inahusisha matusi... ๐