Apihe cha mwaka mpyaππLabda anataka atafune tafune kwanza π
Kuna zawadi inayozidi gegedo?Zawadi ni muhimu mkuu
Sitaraji chochote ni muda wa kukimbiza malengo tena ya msingi pekee π€ͺTayari January inakaribia, Unampa nini rafiki yako wa kike, mwezi huu wa kwanza ili ajisikie kuwa anachumbiana na mtu anayempenda, na pia ajisikie muhimu na maalum kwako, utampa nini.? Ni pesa taslimu au zawadi.?
View attachment 2855298View attachment 2855300
Usijali Mkuu, nitafanya hivyoSafi sana mkuu, usisahau na kumununulia na ka flat Tv,
Mungu anisaidie πππSawa mkuu,