Alafu tukiachana mseme mlikuwa mnatuvalisha na kutupendezeshaZawadi ni zile zile, viboksa na engachifu
Hapana mkuuπ, uwanja wa sms, umejama maombi ya zawadi nini?
Nitaongeza mkoba mdogo mweusi mkuu. Saa ni gharama kiasi mwisho wa mwaka mambo mengi. AsanteKongole sana mkuu, shemeji atafurai sana, Muongezee saa pamoja na kamkoba fulani hivi, π
Hahaha............kumbe unakumbuka πMwenyezi Mungu ni mwema mkuu π, itakua hivyo, ili mda wa togwa ukifika tusihangaike sehem ya kukaaπ
Hahaha............umefanya sahihi kunikumbusha, maana umri huu nimeshaanza kusahau Babu yenu πBrain yangu bado ina Gb za kutosha π
Si ndioπAlafu tukiachana mseme mlikuwa mnatuvalisha na kutupendezesha
Mwaka 2024 tunataka mtoe vitu serious kidogo hizo zawadi za wanafunzi hapanaZawadi ni zile zile, viboksa na engachifu
Sitaki apate shida, mwache ale zake udongo na maembe kwa amaniππ, utamuua na pressure mkuu, subiri ashushe mzigo kwanza.
Dawa ya wasiojitambuaπ€£Mimba tayari bado kumtaftia wake wenza tu π
Tunawapa mioyo yetu, mnataka nini tena au roho zetu?Mwaka 2024 tunataka mtoe vitu serious kidogo hizo zawadi za wanafunzi hapana
πππππ roho zenu itapendeza zaidiTunawapa mioyo yetu, mnataka nini tena au roho zetu?
Ila nyie πSi ndioπ