Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
This is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa amelenga impact yake nini? Yani nchi hii ambayo wamama wajawazito wanajifungulia chini hakuna vitanda, hospital hazina dawa, kuna maeneo hayajafikiwa na maji alaf unatoa millions of money unampa Ghalib na Mohamed Dewj.
Hivi mbona hili hata halihitaji degree kujua kama kinachofanyika ni utopolo? Hivi anajisikiaje mtanzania ambaye serikali yake imefuta toto afya card et kuna mtu akifunga goli anapata mil 10.
Wakati nafanya research yangu nilifanya Newala DC aisee yani unakuta idara karibu zote ndani ya Halmashauri hakuna hata moja yenye gari. Yani unakuta afisa elimu hana gari, anaendaje ndani huko? Afisa mifugo wqla afisa kilimo hakuna mwenye gari. Sasa unajiuliza hao wakulima wanafikiwaje? Mara paap unasikia et leo katoa Mil 30 kuipa Yanga. Dah hii nchi kuna mahali tilimkosea Mungu ameamua kutupa adhabu kwa kutuletea huyu mama
Huyu mama nchi imemshinda aisee. Sijui nani alimpendekeza awe makamu wa Rais. Ametuletea shida zote hizi