Unatoa mil 50 kuwapa Yanga/Simba wakati kuna watoto wanakaa chini kwa upungufu wa madawati.

This is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa amelenga impact yake nini? Yani nchi hii ambayo wamama wajawazito wanajifungulia chini hakuna vitanda, hospital hazina dawa, kuna maeneo hayajafikiwa na maji alaf unatoa millions of money unampa Ghalib na Mohamed Dewj.

Hivi mbona hili hata halihitaji degree kujua kama kinachofanyika ni utopolo? Hivi anajisikiaje mtanzania ambaye serikali yake imefuta toto afya card et kuna mtu akifunga goli anapata mil 10.

Wakati nafanya research yangu nilifanya Newala DC aisee yani unakuta idara karibu zote ndani ya Halmashauri hakuna hata moja yenye gari. Yani unakuta afisa elimu hana gari, anaendaje ndani huko? Afisa mifugo wqla afisa kilimo hakuna mwenye gari. Sasa unajiuliza hao wakulima wanafikiwaje? Mara paap unasikia et leo katoa Mil 30 kuipa Yanga. Dah hii nchi kuna mahali tilimkosea Mungu ameamua kutupa adhabu kwa kutuletea huyu mama

Huyu mama nchi imemshinda aisee. Sijui nani alimpendekeza awe makamu wa Rais. Ametuletea shida zote hizi
Mwingine huyu huku !! Analipwa sh. 300,000/= halafu anaichangia Yanga 80,000/*= kila mara wakati wanae wanaenda shule bila viatu !!
 
Yeye anachotaka ni kuwa Rais tu hivyo anajitahidi kuwavuta machawa kadri awezavyo hayo mambo mengine hana habari nayo.
 
This is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa amelenga impact yake nini? Yani nchi hii ambayo wamama wajawazito wanajifungulia chini hakuna vitanda, hospital hazina dawa, kuna maeneo hayajafikiwa na maji alaf unatoa millions of money unampa Ghalib na Mohamed Dewj.

Hivi mbona hili hata halihitaji degree kujua kama kinachofanyika ni utopolo? Hivi anajisikiaje mtanzania ambaye serikali yake imefuta toto afya card et kuna mtu akifunga goli anapata mil 10.

Wakati nafanya research yangu nilifanya Newala DC aisee yani unakuta idara karibu zote ndani ya Halmashauri hakuna hata moja yenye gari. Yani unakuta afisa elimu hana gari, anaendaje ndani huko? Afisa mifugo wqla afisa kilimo hakuna mwenye gari. Sasa unajiuliza hao wakulima wanafikiwaje? Mara paap unasikia et leo katoa Mil 30 kuipa Yanga. Dah hii nchi kuna mahali tilimkosea Mungu ameamua kutupa adhabu kwa kutuletea huyu mama

Huyu mama nchi imemshinda aisee. Sijui nani alimpendekeza awe makamu wa Rais. Ametuletea shida zote hizi
Hao watoto wenyewe ni Yanga ma simba
 
Kwamba io milioni 5 itanunua dawa za nchi nzima au kwa akili yako unazani maendeleo ni kua na dawa tu hujui kua kuna sekta nyingine kama hizi za michezo
Wew kwa akili yako unaona hzo milkions of money inaongeza chochote kwenye sekta ya michezo?

Kweli nchi hii wajinga ni wengi
 
Kama mwingine anavyoona mpira umewaneemesha wenye hivyo vipaji vya mpira wa miguu ambao bila mpira labda wasingekuwa na ajira,ukitafuta ubaya au wema Kwa mtu Kwa nguvu zote huwezi kuukosa! Serikali ndio inajua return kwa kuwekea kwenye michezo kama we unavyoona Bora tukose madawati na michezo pia kuna mwingine anaona busara ni walau tupate kimoja!
 
Kwani huoni kwamba pesa zinawapa motisha wachezaji na io itapelekea soka la Tanzania kukua
Soka la Tanzania kukua au wafuasi wa chama cha mambumbumbu kuongezeka kwa kupitia upumbavu wa mpira wa Simba na Yanga!!??
 
This is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa amelenga impact yake nini? Yani nchi hii ambayo wamama wajawazito wanajifungulia chini hakuna vitanda, hospital hazina dawa, kuna maeneo hayajafikiwa na maji alaf unatoa millions of money unampa Ghalib na Mohamed Dewj.

Hivi mbona hili hata halihitaji degree kujua kama kinachofanyika ni utopolo? Hivi anajisikiaje mtanzania ambaye serikali yake imefuta toto afya card et kuna mtu akifunga goli anapata mil 10.

Wakati nafanya research yangu nilifanya Newala DC aisee yani unakuta idara karibu zote ndani ya Halmashauri hakuna hata moja yenye gari. Yani unakuta afisa elimu hana gari, anaendaje ndani huko? Afisa mifugo wqla afisa kilimo hakuna mwenye gari. Sasa unajiuliza hao wakulima wanafikiwaje? Mara paap unasikia et leo katoa Mil 30 kuipa Yanga. Dah hii nchi kuna mahali tilimkosea Mungu ameamua kutupa adhabu kwa kutuletea huyu mama

Huyu mama nchi imemshinda aisee. Sijui nani alimpendekeza awe makamu wa Rais. Ametuletea shida zote hizi
Type yako mnanunua bundle na bia while kijijini hawajala
 
Mods fanyeni jambo ipigwe kura hapa JF ili ionekane ni wangapi wanaounga mkono "goli la mama" na wangapi wanapinga naimani rais wetu wala hana nia mbaya au pengine wasaidizi wake wanamuingiza "chaka" Tunatambua naye ni member hapa hivyo kupitia JF huenda akajionea maoni ya wananchi juu ya hili suala;
 
Dunia ni Tambala bovu,, ila nafikiri ni motisha tuu kwa kila Goli la kimataifa na ni milioni 5 tuuu,, Yanga amepata nyingi kwa kua kafunga magoli mengi katika hatua hii kuna wenzake wamekosa kabisa au kupata chache.
 
Back
Top Bottom