Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
-
- #361
Sawa sawa, waliotumia wengine wanasemaje mama
Jaman kwa wenye vipara wenzangu huu uzi upo tangu mwez wa ramadhan mpaka leo hakuna hata kipara kimoja kilichopona wiki zote hizo??? Maana kila nikisubir aliepona naona siku zinaenda na hakuna feedback please leten feedback na wengine tujaribu
Siku tano mpaka wiki moja, unaufanya mzito na unapaka kichwa hata sehemu zenye nywele:
View attachment 285601
Na unaweza kuwa unapaka huku ukiwa unaendelea kunyoa Kipara cha wembe au kuvaa kofia? Maana wenye vipara wengi ndo style zetu hizo
Mimi niseme kweli jamani hii dawa haikunifaa kutibu uwalaza wangu pamoja na jitihada zote za kujikandika.
Mbona hamleti mrejesho wadau mlioanza kutumia mapema hasa team vipara, ha ha ha ila mama unatufanya watu wazima tupake matope kama watoto aisee teh teh
Mbona hamleti mrejesho wadau mlioanza kutumia mapema hasa team vipara, ha ha ha ila mama unatufanya watu wazima tupake matope kama watoto aisee teh teh
Wengi waliojaribu wanarudi kununua tena, ina maana inawasaidia.
Kuna wachache ambao wamesema haikuwasaidia nao nimewaomba waje niwarudishie pesa zao.
Hii ni tiba pekee Tanzania ambayo ni "money back guarantee".
Sawa mama nimeanza kikopo cha pili sasa, matokeo mazuri kwa mwenye kipara ni mpaka kopo la ngapi au mkebe wa ngapi
Na unaweza kuwa unaendelea kupaka Mafuta mengine ya nywele huku pia unapaka udongo, na kwa matokeo mazuri unatakiwa ujipake udongo mara ngapi kwa siku? Me hupaka nikitaka kulala na kesho yake asubuhi najiosha, nasubiri muda wa kulala tena, nipo sahihi
Unajipaka mara moja tu kwa siku na tunashauri ukirudi nyumbani usiku.
Napenda ifahamike kuwa unajisiriba na si kujipaka kama mafuta, iwe thick layer kama hinna. Na ujipake kicha kizima na si kwenye kipara tu. Jisiribe kichwa chote hata kwenye nywele.
Tunashauri ukianza kupaka udongo acha kutumia mafuta au dawa zingine kwani hatujui "chemical reaction" na madawa mengi itakuaje.