Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Jaman kwa wenye vipara wenzangu huu uzi upo tangu mwez wa ramadhan mpaka leo hakuna hata kipara kimoja kilichopona wiki zote hizo??? Maana kila nikisubir aliepona naona siku zinaenda na hakuna feedback please leten feedback na wengine tujaribu
 
Ukiona hivyo ujue mambo mazuri.
 
Jinsi ya kutumia kwa wenye vipara ikoje? Mkebe mmoja utumike utumike siku ngapi? Ninayo sita

Siku tano mpaka wiki moja, unaufanya mzito na unapaka kichwa hata sehemu zenye nywele:

Sample udongo.jpg
 
Mimi niseme kweli jamani hii dawa haikunifaa kutibu uwalaza wangu pamoja na jitihada zote za kujikandika.
 
Mm niliimuuliza ni vingapi ndo dozi kamili ....akaniambia 6 sasa nimenunua saba ili nije niseme kweli hapa, ni vingi ila nitakuja kusema tu ...msione kimya
 
Mimi niseme kweli jamani hii dawa haikunifaa kutibu uwalaza wangu pamoja na jitihada zote za kujikandika.

Pole sana, kama umetumia dozi kamili na haikukusaidia wala hukuona dalili zozote za mafanikio basi tatizo lako lipo juu ya uwezo wa hii tiba yetu.

Ninapenda kukufahamisha tu, kuwa hii tiba kama haikukusaidia kwa tatizo ni "100% money back guarantee no questions asked".

Kama ulinunua kwetu moja kwa moja wasiliana nasi ili tukurudishie pesa zako na kama ulinunua kwa wakala wasiliana nae akurudishie pesa zako.

Pole sana ndugu yangu.
 
Mbona hamleti mrejesho wadau mlioanza kutumia mapema hasa team vipara, ha ha ha ila mama unatufanya watu wazima tupake matope kama watoto aisee teh teh
 
Wengi waliojaribu wanarudi kununua tena, ina maana inawasaidia.

Kuna wachache ambao wamesema haikuwasaidia nao nimewaomba waje niwarudishie pesa zao.

Hii ni tiba pekee Tanzania ambayo ni "money back guarantee".
 
Sawa mama nimeanza kikopo cha pili sasa, matokeo mazuri kwa mwenye kipara ni mpaka kopo la ngapi au mkebe wa ngapi
 
Tumeona matokeo mazuri vikopo vinne mpaka sita lakini dalili nzuri zinaanza kuonekana kikopo cha kwanza mpaka cha pili kwa wengi.
 
Na unaweza kuwa unaendelea kupaka Mafuta mengine ya nywele huku pia unapaka udongo, na kwa matokeo mazuri unatakiwa ujipake udongo mara ngapi kwa siku? Me hupaka nikitaka kulala na kesho yake asubuhi najiosha, nasubiri muda wa kulala tena, nipo sahihi
 
Unajipaka mara moja tu kwa siku na tunashauri ukirudi nyumbani usiku.

Napenda ifahamike kuwa unajisiriba na si kujipaka kama mafuta, iwe thick layer kama hinna. Na ujipake kicha kizima na si kwenye kipara tu. Jisiribe kichwa chote hata kwenye nywele.

Tunashauri ukianza kupaka udongo acha kutumia mafuta au dawa zingine kwani hatujui "chemical reaction" na madawa mengi itakuaje.
 
Ok sawa nimekuelewa, bila shaka yule mwanao anafuga afro sasa hivi
 
Back
Top Bottom