Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
- #361
Sawa sawa, waliotumia wengine wanasemaje mama
Wengi ninaona wanarudi kuununuwa tena na wengi wameona mafanikio na kuna wachache wanasema hawajaona mabadiliko.
Mimi ninasema ambae haimfai ni "money back guarantee".
