Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

naomba kuuliza, hivi hiyo clay inayotumika kichwani ndio hiyohiyo inayotumika kwenye ngozi?

wengi wamelalamikia mawakala wako, mi naomba kujua wewe mwenyewe unapatikana mkoa gani?

Hiyo clay inamaelekezo ya jinsi ya kutumia?

sina kipara ila nahisi kitaanza tu maana daddy anacho, sasa nauliza je hiyo dawa inaweza kuzuia kipara kisijitokeze?
 
Mimi nipo Sinza Dar.

Mawakala kusema kweli wanatuangusha sana. Lakini tutajitahidi sana kurekebisha.

Clay ni hiyo hiyo kwa ngozi na nywele.

Inasaidia sana wenye kutoka nywele, kukatika na hata kuziweka nywele katika hali nzuri tu. Ni tiba nzuri sana.

Soma hii:

[h=2]Mud in Your Hair?[/h]Turns out, clay can be very beneficial for hair in the same way it can be beneficial in the rest of the body: it removes toxins to leave hair super-clean and with a lot of shiny volume.
 
thanks...ngoja nipitie hizo links..
 
maxresdefault.jpg

aunt Zai huyu mtoto kaolewa?
Em niPM # yake anielekeze njia ya kufika kwako!
 
Nyie vijana hamuachi vituko?

Hahaha huyo ni wa kwenye mtandao nime kopi na ku pesti tu.

lol..,kumbe!...anyway sio mbaya najua hapo kwako kuna 'vyuma' zaidi ya hicho!...na ushatupa sababu tena,kama tunakuja kununua udongo vile .....
Msalimie Mzee Abdul
 
Nitampa salaam zako, munafahamiana na Mzee Abdul?

bila shaka!..hata wewe nakufahamu pia...na yule bibi mtata wa Mkuranga!
Aunt Zai wake zangu wamekupenda bure..,customer care na ngozi yako imekuwa inspiration kwao kwa hii tiba!
MashaAllah,inabidi sasa nifuge chui,naona mbwa hawatoshi nisije nikaibiwa!
Mbarikiwe sana!
 
kuna tofauti kati ya nywele kukatika na kuzuia kifara kipotee.sasa hiyo dawa inaweza kuzuia kipara kisiote nafikiri ndio alivyotaka mdau hapo juu kujua
 
Inasaidia vyote hivyo.

Vipi unaendelea na matumizi? Hujatupa feedback.
 
Hiyo dawa inaweza kurefusha nywele?
Miye nataka ndevu zangu ziwe ndefu zaidi.
 
Ukinunua kwetu ni Shillingi 3,500 kwa mkebe, mawakala wengine huwa kidogo wanaongeza kutokana na gharama za usafiri, inategemea na alipo.

Leo naenda kununua tena ....kikopo cha 2 ,samahani nitatumua kwa muda gani nipate mafanikio
 
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.

Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe:

Before

View attachment 268739 View attachment 268761

niko iringa nahitaji hayo mafuta
 
Iringa upo wasiliana na Janet 0714757197

Haya si mafuta ni udongo (Natural Clay).
 
Back
Top Bottom