Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Na ipi logic ya kupaka kichwa kizima na c kwenye Kipara tu?

Inasaidia hata zile nywele hafifu ambazo zipo njiani kuelekea kipara zinapata afya.

Tunashauri hata wasio na kipara watumie japo wiki mara moja au wiki mbili mara moja kama maintenance ya nywele zao. Inazuwia nywele kukatika katika na kuondoa uhafifu wa nywele.
 
Inasaidia hata zile nywele hafifu ambazo zipo njiani kuelekea kipara zinapata afya.

Tunashauri hata wasio na kipara watumie japo wiki mara moja au wiki mbili mara moja kama maintenance ya nywele zao. Inazuwia nywele kukatika katika na kuondoa uhafifu wa nywele.

Okay sawasawa
 


Aunt ainab's Natural Super Clay for cleansing, clarifying, moisturizing and conditioning hair

The benefits of applying this clay to your hair and scalp are as follows: 1) detoxifies your scalp 2) heals scalp & cleanses 3) conditioner (eliminates breakage).

Who doesn't want softer and longer hair? Most women desire that! One way to achieve outstanding hair growth is to keep brittle hair at bay! By doing so; your hair will have the opportunity to grow long and lush! No breakage here, Honey!! I live for the softness! Yes...I live!

Ijaribu utaipenda.
 
By monges
Hiyo dawa inapatiakana maduka
yepi?
Dar es Salaam
Dar Home Delivery: Mzee Abdul =
0756803528
Ilala / Kariakoo = Raymond Mushi -
0713422069
Ilala kwa Masai Kimako =
Mwanahamisi Saloon 0718775220
Kijitonyama - Vivian Mshomi - Stendi
ya Makumbusho - 0757176678 /
078476678 / 071576678 /
0776154933
Kimara - Mbezi - Ubungo = Jack-
0714893685
Jack yupo Kimara Rombo lakini
amejitolea kufanya delivery mpaka
Mbezi Mwisho na Ubungo.
Sinza = Aunt Zainab - 0769302206
Tabata = Yusuph Mushi 0715488669
Zanzibar (Unguja)
Dr. S. Shafi 0754650480
Arusha
Mama Aida -0754445733
Dodoma
Rukia - 0653249898
Iringa -
Janet - 0714757197
Lindi
Nuru - 0717461575
Mbeya
Haule - 0756994850 na 0784658349
Mwanza
Mama Alex / Bonge 0768545736 na
0765072213
Morogoro
Lina Mafwere - 0754297319 Boma
Road.
Tanga
Farouq - 0719190000
 
kuna mmoja anaitwa Grace product yupo pale jengo la mwalimu house nayeye pia anauza dawa ya upara
 
mie natoa mrejesho kwa mafuta ya zoa zoa ya grace products, mwezi wa 2 sasa kipara kwishney,

mkuu, hivi hizo dawa side effects ni zipi? kama ni chemical-based, najaribu kufikiria madhara yake mwilini. Kitu upara afu mpaka nywele zinaota, mmh!
 
mkuu, hivi hizo dawa side effects ni zipi? kama ni chemical-based, najaribu kufikiria madhara yake mwilini. Kitu upara afu mpaka nywele zinaota, mmh!

Hizi dawa naona ni natural, matunda kabisa nilidadisi sana, hamna chemicals kabisa, mchanganyiko wa tofauti za matunda mbalimbali
 
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.

Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe:

Before

View attachment 268739 View attachment 268761

Kuna suala la mvi hilo unalizungumziaje?
 
Leo nimefarijika sana.

Kuna mtu aliitumia hii tiba yetu na akanipigia simu mwezi uliopita kusema kapaka wiki 6 haoni mabadiliko, nikamwambia aje tumrudishie pesa zake. Leo kanipigia simu anasema anashangaa sana sasa hivi anaona nywele zinakuja mule zilimokuwa hazioti.

Hii imenifariji sana.
 
Back
Top Bottom