Mlalahoi Mlalahai
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 399
- 146
Na ipi logic ya kupaka kichwa kizima na c kwenye Kipara tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ipi logic ya kupaka kichwa kizima na c kwenye Kipara tu?
Inasaidia hata zile nywele hafifu ambazo zipo njiani kuelekea kipara zinapata afya.
Tunashauri hata wasio na kipara watumie japo wiki mara moja au wiki mbili mara moja kama maintenance ya nywele zao. Inazuwia nywele kukatika katika na kuondoa uhafifu wa nywele.

kuweka namba ya mtu si sawa, Zainab Tamim
Naombeni link yake, au mwenye namba yake.
mie natoa mrejesho kwa mafuta ya zoa zoa ya grace products, mwezi wa 2 sasa kipara kwishney,
mkuu, hivi hizo dawa side effects ni zipi? kama ni chemical-based, najaribu kufikiria madhara yake mwilini. Kitu upara afu mpaka nywele zinaota, mmh!
Naombeni link yake, au mwenye namba yake.
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.
Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe:
Before
View attachment 268739 View attachment 268761
Kuna suala la mvi hilo unalizungumziaje?
kuweka namba ya mtu si sawa, Zainab Tamim
hazina side effect?Asante kwa ueledi wako. Lakini sisi tupo kwa ajili ya wateja wetu na namba zangu zipo wazi wakati wowote ni 0769302206 na 0689771331 (whatsapp).