Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Then what...labda ingekuwa mtu akifa anarudishwa sawa kumbe nywele tuu.
Hiyo product inatoka nchi gani ? Na huko inapotoka hakuna hao wenye vipara isije kuleta madhara ktk ubongo na tunawategemea wenye vipara walete viwanda ninawasiwasi na hiyo dawa
 
Aliyekuwa anarudisha watu wakifa ni Yesu pekee, sisi hilo hatuliwezi.

Si nywele tu ni tiba ya mambo mengi tu na inapotoka ni Tanzania.

Usifikiri kila mwenye kipara ni kwa kupenda, wengine ni matatizo.

Wasiwasi ni wako, sisi tukusaidie vipi?
 
Nilichukua Namba zenu zote, na niliweza kuwa tafuta lakini mlikuwa mnapiga Chenga tuu, sio tupo polini tunachimba Mara sijui baadae, yani imekuwa sarakasi mtindo mmoja..
H
 
hakuna kitu kama hicho,tuliotumia haikuonyesha mabadiliko yeyote na hakuna hata mtu mmoja aliyerudisha majibu yenye matumaini.LOLIONDO
 
hakuna kitu kama hicho,tuliotumia haikuonyesha mabadiliko yeyote na hakuna hata mtu mmoja aliyerudisha majibu yenye matumaini.
 
Aliyekuwa anarudisha watu wakifa ni Yesu pekee, sisi hilo hatuliwezi.

Si nywele tu ni tiba ya mambo mengi tu na inapotoka ni Tanzania.

Usifikiri kila mwenye kipara ni kwa kupenda, wengine ni matatizo.

Wasiwasi ni wako, sisi tukusaidie vipi?
Hii dawa bd ipo nataka kujaribu
 
Back
Top Bottom