Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

TIGO POST PAID/ MALIPO BAADA.
Kuingia kwenye Mfumo:


Whatsapp/ Piga : 0710535327
 

Attachments

  • IMG_20230510_202413.jpg
    25.4 KB · Views: 15
Mimi najibana sana natumia shilingi elfu 25 ambapo napata 30gb huduma ya post paid.

Tuambie unatumia kiasi gani cha pesa kwa mwezi kwa ajili ya bando la internet hasa wakati huu mabando hayshikiki?
Tuelezee zaidi inakuaje hii? Mbona ni nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…