KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 1,955
- 2,465
Mtando gani30,000 nalipia gb 30 dkk 1500 na sms 1500
Mwezi mmoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtando gani30,000 nalipia gb 30 dkk 1500 na sms 1500
Mwezi mmoja.
ok,ungemweleza tuu kinacho hitajika kisha aje pmkinachohitajika ni namba yake ya simu sasa atawekaje namba yake public?
Okok,ungemweleza tuu kinacho hitajika kisha aje pm
Mtandao gani?30,000 nalipia gb 30 dkk 1500 na sms 1500
Mwezi mmoja.
hizo gb zinafaa kushare
Kama upo sehemu ambayo airtel inashika sajili laini halafu waambie wakuunge na sme! Ni nafuu sanaTar 1 naunga…
elf 35, Gb 17.5 voda
Elf 2.. sms
Elfu 10 dk 715
Total 47K
Gb zinakaa mpaka tar 19/20/21/22 baada ya hapo naanza mateso ya buku 3 3.
Siwezi kaa hata kwa dk 5 simu haina bando.
Narudi kule kule kwa almost 60-70k
Tar 1 naunga…
elf 35, Gb 17.5 voda
Elf 2.. sms
Elfu 10 dk 715
Total 47K
Gb zinakaa mpaka tar 19/20/21/22 baada ya hapo naanza mateso ya buku 3 3.
Siwezi kaa hata kwa dk 5 simu haina bando.
Narudi kule kule kwa almost 60-70k
Hivi ni kweli vpn inafanya kazi? Au changa la macho tu8000 Tsh kwa mwezi. Dkk 65+10SMS+520MB kwa 1500/sk 7 ×4 kwa ajili ya watssap na JF. SMS mwezi 1000. Kwengine natumia VPN.
Dūbūlalīle ng'wanangwa 🙏🏿Mitandao ya simu wanapiga hela nyingi mno mno na hawataki kupunguza bei za bundle,,, mimi natumia 20k adi 30 per month
Bhujiku ng'waka bhabhaa
Airtel sijui uwa naionaje jamani.Kama upo sehemu ambayo airtel inashika sajili laini halafu waambie wakuunge na sme! Ni nafuu sana
Yeah! Tatizo wanaweza kukupiga bei kubwa, wakomalie una buku 3 tu,Airtel sijui uwa naionaje jamani.
Hiyo SME nitaipata hata kwa mawakala wa kawaida?
Yeah! Tatizo wanaweza kukupiga bei kubwa, wakomalie una buku 3 tu,
TigoH
Huu mtandao gani
Hawa ni tigo chiefMtandao gani huu mhandisi?
Kwamba hujawahi kutumia VPN hata siku moja au unatania mkuuHivi ni kweli vpn inafanya kazi? Au changa la macho tu
Aisee inabidi nipunguze natumia wastani wa 40,00/-50,000 Kwa mwezi harafu hakuna nachoingiza Cha maana Kupitia mitandao.Mimi najibana sana natumia shilingi elfu 25 ambapo napata 30gb huduma ya post paid.
Tuambie unatumia kiasi gani cha pesa kwa mwezi kwa ajili ya bando la internet hasa wakati huu mabando hayshikiki?