Kinyarugina
Member
- May 12, 2022
- 44
- 65
Full details za hii VPNTTCL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Full details za hii VPNTTCL
Natumia 40,000 bando ya GB9.5 x 2 kwa mwezi kupitia Airtel. Ghali sana na hata hivyo siangalii video!Mimi najibana sana natumia shilingi elfu 25 ambapo napata 30gb huduma ya post paid.
Tuambie unatumia kiasi gani cha pesa kwa mwezi kwa ajili ya bando la internet hasa wakati huu mabando hayshikiki?
Elfu 40 afu unapata GB 9.5?Natumia 40,000 bando ya GB9.5 kwa mwezi kupitia Airtel. Ghali sana na hata hivyo siangalii video!
Ni huduma inapatikana tigo shop ukienda utapewa maelekezo mazuriTuelezee zaidi inakuaje hii? Mbona ni nzuri sana
Sorry ni 9..5 *2=19GBElfu 40 afu unapata GB 9.5?
Mitandaoni mbona maarifa kibao kiongozi unakuwa unapata au mpaka upate pesa 😀Aisee inabidi nipunguze natumia wastani wa 40,00/-50,000 Kwa mwezi harafu hakuna nachoingiza Cha maana Kupitia mitandao.
Nakomalizia bando sio kwenye kuongeza maarifa ,ni upuuzi wa kubishana kwenye siasa uchwaraMitandaoni mbona maarifa kibao kiongozi unakuwa unapata au mpaka upate pesa 😀
Si unaona una interact na watu unakuwa una refresh akili 😀Nakomalizia bando sio kwenye kuongeza maarifa ,ni upuuzi wa kubishana kwenye siasa uchwara
Mimi Huwa nachukulia mambo seriously hata sio ku refreshSi unaona una interact na watu unakuwa una refresh akili 😀
Mkui We una bahati uliingia postpaid mapema/mwanzoni kabisa.... siku hizi hii package ya 25k haipoMimi najibana sana natumia shilingi elfu 25 ambapo napata 30gb huduma ya post paid.
Tuambie unatumia kiasi gani cha pesa kwa mwezi kwa ajili ya bando la internet hasa wakati huu mabando hayshikiki?
mtandao gan?Natumia proxy server nimehost mwenyewe, nalipia 10000 kila mwezi, unlimited.
Yah ni kweli sijui mkataba ukiisha itakuajeMkui We una bahati uliingia postpaid mapema/mwanzoni kabisa.... siku hizi hii package ya 25k haipo
Tafuta Airtel sme upate gb 35 kwa 30k au gb 22 kwa 20kElfu 40 afu unapata GB 9.5?
Kama mimi tuDaaah mimi hata sielewi ila najiungaga cha buku 3 cha wiki kinakaa siku mbili au tatu naunga tena.
Inakuwaje hii mzeeNatumia proxy server nimehost mwenyewe, nalipia 10000 kila mwezi, unlimited.