Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

Mimi najibana sana natumia shilingi elfu 25 ambapo napata 30gb huduma ya post paid.

Tuambie unatumia kiasi gani cha pesa kwa mwezi kwa ajili ya bando la internet hasa wakati huu mabando hayshikiki?
Natumia 40,000 bando ya GB9.5 x 2 kwa mwezi kupitia Airtel. Ghali sana na hata hivyo siangalii video!
 
Watu mnajiunga Ma GB ya hatari hatari yani GB 30 kwangu naona ni miujiza😁 sasa wenye Tigo ebu share ata GB 3 kabla tigo hawajafanya marekebesho saa sita za usiku🤣🤦
 
Back
Top Bottom