mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Kazi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina lipa namba ya voda na airtel.Lipa namba ina makato pia.
!!!!!!!!🙄🙄🙄walau
Sawa bossWw ndo umeandika kisomi
Kuwa chawa wa mama mwenye nyumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenye njia muhimu ya kukwepa kodi ya pango anipe hints
WqKukwepa kodi ni kosa kubwa sana kisheria, sasa unasema unalipa kodi halafu huoni kazi yake au huoni maendeleo na ww ni mwalimu unalipwa mshahara kwa kutumia hela za mama yako? Hivi ni kweli huoni maendeleo yoyote? Acha siasa za kupinga kila kitu, sisi pia tuna macho na better education na tunaona kuna maendeleo walau yanafanyika mengi tu
Mpelekee moto mama mwenye nyumba!!Mwenye njia muhimu ya kukwepa kodi ya pango anipe hints
Hebu tueleze na sisi/mimi tunufaike/ninufaike
Ukitakankuwa Huru na kufanya biashara endelevu lipa Kodi.... Watakudanganya hapa wafanyabiashara uchwara hapa ujikaange na TRA. Nina uzoefu Sasa hivi Niko Huru na biashara inaenda wasa na Kila niliomba KAZI Nina confidence maana nikipeleka document zimenyooka. Dai risiti Kwa Kila manunuzi halafu fileTuwe wakweli hakuna kinachouma kama kulipa kodi na unalipa huku unajua kabisa pesa hizi haziendi kuleta maendeleo ya nchi, wanaenda kunufaika familia flani ukibisha hili soma ripoti ya CAG na angalia kinachoendelea TANESCO na sisi tunaofanya biashara za mazao huwa tunapita vijijini utakubali kuwa kodi hazifanyi kazi.
Pamoja na yote hayo kulipa kodi ni wajibu na wajibu huu upo kwa mujibu wa sheria za nchi, mimi binafsi ni mlipa kodi mzuri sana nalipa kodi kupitia ajira yangu ya uwalimu, nalipa kodi za magari yangu ya biashara, nalipa kodi za ardhi nalipa kodi za biashara za mazao nk nikipiga hesabu kiasi ambacho kinaenda serikalini na maendeleo ya nchi najikuta nipo bored sana, hivyo huwa nafikiria mbinu na marifa ya kukwepa kodi zaidi kwa sasa ili kukwepa kodi huwa nafanya haya.
1. Nasajili biashara kwa majina tofauti tofauti, mfano gari zipo tatu na nina mpango wa kuongeza nyingine , hizi nimesajili moja kwa jina la mjomba, nyingine mama na nyingine nimempa mfanyakazi wangu ukiniuliza kwa nini nafanya hivyo ni kwa sababu hawa jamaa wakiona jina lako huwa wananza kukufuata fuata kiboya na kuanza kuwekewa kodi za ajabu.
2. Nawekeza maeneo ambayo hayana kodi, nimeamua kuwekeza sana shambani, ukiwa na heka zaidi ya mia kwa nchi hii hulipi kodi, ila ukiwa na gunia hata 50 tu za mchele pale store pana kodi, so dawa nikuwekeza sana kwenye mashamba, kama una mbinu nyingine ya kukwepa kodi hapa share ili tuongeze marifa, tutakuwa huru kulipa kodi iwapo serikali itaonekana ipo serious kusimamia kodi zenyewe, share mbinu hata haramu ila tu isihushe kuwahonga wafanyakazi wa serikali hasa TRA, polisi na hawa watoza ushuru.