Unatumia mbinu gani kuomba showtime kwa demu ambaye hamjuani?

Idrissou02

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
354
Reaction score
656
Naam naam, unaweza kutana na pisi kali ukaitamani. Hauna muda wa kuanza kuitongoza na kuidanganya unaipenda kwanza unakuta una manzi yako ambayo unaipenda kweli. Hivyo unataka zako showtime tu kila mtu ale hamsini zake.

Em marijali tushare mbinu hapa za jinsi ya kuomba showtime kwa pisi kama hii kistaarabu huku unaeza ukakuta sio malaya.
 
Omba date siku ya kwanza
Omba date siku ya pili
Omba date siku ya tatu hapa mwambie nataka sehemu private ambayo tunaweza kuongea wawili tu

Mchombeze

Mkuu unahela kwanza[emoji41][emoji41]
Nisije nikawa nakupa nondo halafu bando tu unakopa nipige tafu
 
Date mara tatu, mna mda kwa kweli mimi mara ya kwanza tu hiyo nataka nile mzigo
 
Naam naam, unaweza kutana na pisi kali ukaitamani. Hauna muda wa kuanza kuitongoza na kuidanganya unaipenda kwanza unakuta una manzi yako ambayo unaipenda kweli. Hivyo unataka zako showtime tu kila mtu ale hamsini zake.

Em marijali tushare mbinu hapa za jinsi ya kuomba showtime kwa pisi kama hii kistaarabu huku unaeza ukakuta sio malaya.
Hii hapa
IMG-20220808-WA0006.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Omba date siku ya kwanza
Omba date siku ya pili
Omba date siku ya tatu hapa mwambie nataka sehemu private ambayo tunaweza kuongea wawili tu

Mchombeze

Mkuu unahela kwanza[emoji41][emoji41]
Nisije nikawa nakupa nondo halafu bando tu unakopa nipige tafu
Hii ni waste of time,ni staili ya kizamani labda kama unatafuta mwanamke wa kuoa hapo sawa
 
Omba date siku ya kwanza
Omba date siku ya pili
Omba date siku ya tatu hapa mwambie nataka sehemu private ambayo tunaweza kuongea wawili tu

Mchombeze

Mkuu unahela kwanza[emoji41][emoji41]
Nisije nikawa nakupa nondo halafu bando tu unakopa nipige tafu
Ya nn kujipa kazi yote hii?

Mwanamke anayejitambua ukimwambia Tu ukweli kwamba mwenzio najisikia kusex na wewe Ila sihitaji tuwe na mahusiano maana Nina mtu mbona anakuelewa!! Wanawake wenyewe hawa siku hizi hawataki mambo ya kugandana Kama kucha.Tena ukimwambia ukweli anakushukuru Sana na kukuambia angalau wewe umesema ukweli unataka game Tu laini mambo ya kuambiana nakupenda kinafiki umekataa

Wa zamani siyo wa sasa mkuu,mambo yamebdilika,hakuna haja ya konakona
 
Tamasha kubwa la wazamani si wasasa..mkuu umekata tiketi lakini?

#MaendeleoHayanaChama
 
Naam naam, unaweza kutana na pisi kali ukaitamani. Hauna muda wa kuanza kuitongoza na kuidanganya unaipenda kwanza unakuta una manzi yako ambayo unaipenda kweli. Hivyo unataka zako showtime tu kila mtu ale hamsini zake.

Em marijali tushare mbinu hapa za jinsi ya kuomba showtime kwa pisi kama hii kistaarabu huku unaeza ukakuta sio malaya.
Chukua namba..muonyeshe kibunda cha pesa..chati naye masuala ya kimahaba hasa night ili kuamsha hisia zake kisha mchane live kuwa unataka utelezi..hakikisha kibunda kipo pia onyesha dalili za kumuhitaji kimapenzi kupitia maongezi yako..acha kuleta ulokole mbele ya k.

N.b tumia ndomo kila upatapo k..

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom