Unatumia mbinu gani kuomba showtime kwa demu ambaye hamjuani?

Unatumia mbinu gani kuomba showtime kwa demu ambaye hamjuani?

Omba date siku ya kwanza
Omba date siku ya pili
Omba date siku ya tatu hapa mwambie nataka sehemu private ambayo tunaweza kuongea wawili tu

Mchombeze

Mkuu unahela kwanza[emoji41][emoji41]
Nisije nikawa nakupa nondo halafu bando tu unakopa nipige tafu
Mara tatu zote unatafuta mke wa kuoa au,siku hiyo hiyo kamata mtu peleka bar mpige wine vuta mtu kampelekee moto
 
Omba date siku ya kwanza
Omba date siku ya pili
Omba date siku ya tatu hapa mwambie nataka sehemu private ambayo tunaweza kuongea wawili tu

Mchombeze

Mkuu unahela kwanza[emoji41][emoji41]
Nisije nikawa nakupa nondo halafu bando tu unakopa nipige tafu
Mkuuuuuu
 
Hapo lazima utoboke mzeebaba na muda mwingine unatoswa.
Unaomba out gharamia vilivyo then tumia akili kumuingiza lodge....Ikikwama jaribu tena ila mwisho mara tatu. Ukichoka funguka moja kwa moja tu hakuna namna.
 
Naam naam, unaweza kutana na pisi kali ukaitamani. Hauna muda wa kuanza kuitongoza na kuidanganya unaipenda kwanza unakuta una manzi yako ambayo unaipenda kweli. Hivyo unataka zako showtime tu kila mtu ale hamsini zake.

Em marijali tushare mbinu hapa za jinsi ya kuomba showtime kwa pisi kama hii kistaarabu huku unaeza ukakuta sio malaya.
Achana na uzinzi, hautakusaidia kwa chochote.
 
Back
Top Bottom