Unatumia mbinu gani kuomba showtime kwa demu ambaye hamjuani?

Sisi wote watu wazima sitaki nianze kuzunguka zunguka na kukudanganya danganya kama mtoto Mdogo nimeelewa huo mzigo 😂😂😂
Hii ndio ya kibabe hii hata mimi naitumia mwamba umenitisha
 
Hapo lazima utoboke mzeebaba na muda mwingine unatoswa.
Unaomba out gharamia vilivyo then tumia akili kumuingiza lodge....Ikikwama jaribu tena ila mwisho mara tatu. Ukichoka funguka moja kwa moja tu hakuna namna.
Acha ushamba
 
Mwambie hivi baada ya salamu
"Niko fire sana leo kama vipi hatuwezi tukajipinda pale GH kidogo ukanituliza"
 
Ya nn kujipa kazi yote hii?

Mwanamke anayejitambua ukimwambia Tu ukweli kwamba mwenzio najisikia kusex na wewe Ila sihitaji tuwe na mahusiano maana Nina mtu mbona anakuelewa!! Wanawake wenyewe hawa siku hizi hawataki mambo ya kugandana Kama kucha.Tena ukimwambia ukweli anakushukuru Sana na kukuambia angalau wewe umesema ukweli unataka game Tu laini mambo ya kuambiana nakupenda kinafiki umekataa

Wa zamani siyo wa sasa mkuu,mambo yamebdilika,hakuna haja ya konakona
Hata likiwa kahaba ukiliambia hivyo litakutukana kufa... Labda ulikute site
 
Miaka ya nyuma, nilikutana na demu mmoja mkali sana posta, alikuwa anawahi daladala mida ya jioni, nikajitoa ufahamu kujidai namfahamu.
Akawa anakimbilia daladala nikamfuata nikampa business card.
Weekend nikaona simu inaita number mpya, akajitabulisha kuwa yeye ni.....
Tukaongea mawili matatu, akakata simu, nikamtumia 60,000 ya weekend. Haikupita dakika 10 alipiga simu, akasema ameboreka sana, hajui hata aende wapi, nikamwambia nipe location nije kukuchukua. Nilikula mzigo, hadi leo ni kipoozeo
 
Wazee wa migodini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na kibamio chako
Miaka ya nyuma, nilikutana na demu mmoja mkali sana posta, alikuwa anawahi daladala mida ya jioni, nikajitoa ufahamu kujidai namfahamu.
Akawa anakimbilia daladala nikamfuata nikampa business card.
Weekend nikaona simu inaita number mpya, akajitabulisha kuwa yeye ni.....
Tukaongea mawili matatu, akakata simu, nikamtumia 60,000 ya weekend. Haikupita dakika 10 alipiga simu, akasema ameboreka sana, hajui hata aende wapi, nikamwambia nipe location nije kukuchukua. Nilikula mzigo, hadi leo ni kipoozeo
 
Mwambie akupatie namba yake ya simu. Kisha mtumie Elfu 50, then endelea na mishe zako..

Ukifanya hivyo yeye ndiye atakutafuta Ukamgegede mkuu. Kila la heri...
Thread closed.
 
Mimi cuz napenda Bar maids, uwa nakua straight
" Leo nakuiba" akiuliza unipeleke wapi, namwambia sema tu nakuibaje sehemu ya kwenda tutajua...."nakuibaje" nikiimaanisha afike dau tu bargain.

Sijawai kosa.

Experience ya mtaani sina.
 
Back
Top Bottom