Unatumia muda mwingi na bando kubwa zaidi ya data kwenye platform ipi ya mtandao wa kijamii?

You tube.
Ninanunua bando kubwa matumizi kidogo.
2th next month bando lina expire ila bado nina Gb 160 na ushee.
 

Attachments

  • Screenshot_20240426_005654_za.co.vodacom.android.app.jpg
    281.9 KB · Views: 6
1. YouTube
Hiki ni kisima cha maarifa, nimetatua chamgamoto nyingi sana za kiufundi kupitia hii,
2. Quora
Hii ni ya kujifunza maarifa, japo siku hizi inaniwia vigumu kutokana na macho kuanza kusumbua
3 Tik tok
Hapa nikitaka ku refresh mind na ku punguza stress
4. Spotify, Shazam
Napenda Sana music
 
IG
Triller
Pinterest
Tiktok

Hiyo kwangu ndo inamaliza sana bundle.

Hii mingine haimalizi ila nashinda humo sana.

JF
WhatsApp
Telegram

Na kuna chimbozii za kiwakii siwezi zitajaa hapa, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tik tok kwa kweli. Waliotengeneza tik tok wameua sana
Tiktok, facebook na instagram unaweza kuondoa autoplay ukitumia mobile data ili kuzuia kucheza hata video usizozitaka.

Tofauti na hapo bundle itakimbia sana.

Pia kwenye phone settings wekeni data saver on kwa upande wa mobile data ili kuzuia application zisifanye syncronization hata kama hazijafunguliwa.

Ila kwenye wifi huna haja ya kuweka data saver on.
 
Xxnx
 
Nikiwa job situmii kabisa simu, but nikitoka kuanzia saa moja jion nakuwa nishalala so ni ticktock na youtube hadi saa tano then nalala, ksbla ya jf kuharibiwa ndo nlikua nashinda jf
 
Nipe list ya chanels za youtube na reddit zenye mambo mazuri nami nikajifunze mkuu
Youtube..

1. Kurzgesagt - In a nutshell
2. Free Documentary
3. The Engineering Mindset
4. The Stoic Community
5. Aperture
6. DIY Garden Ideas
7. Histographics
8. Kento Bento
9. Vice Life
10. The Infographics Show
11. Medieval Madness
12. Thomas Schwenke

Reddit ni forum kama Jamii Forums. Yani completely kama Jamii Forums. Huko sasa inategemea unapendelea kusoma au kuona nini. Kuna subreddits ambazo ni kama majukwaa ya hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…