Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Hongera sana. Kila la kheri Mama Lukasiii.Yeah! Yupo vizuri mnyiha yule hana baya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana. Kila la kheri Mama Lukasiii.Yeah! Yupo vizuri mnyiha yule hana baya
Tiktok ni gallery ya ulimwengu kwa wakati uliopo, wakati uliopita na wakati ujao... Cha muhimu uwe na bando tuTik tok kwa kweli. Waliotengeneza tik tok wameua sana
Yess niko Pintee mnoo.Pinterest uko makini sana
Mtandao wa kijani, ume kaa kinyamwezi, reddit una tumia??Yess niko Pintee mnoo.
Nimeshindwa kabisa kuzuia video auto play in Instagram, niende kwenye setting gani?Tiktok, facebook na instagram unaweza kuondoa autoplay ukitumia mobile data ili kuzuia kucheza hata video usizozitaka.
Tofauti na hapo bundle itakimbia sana.
Pia kwenye phone settings wekeni data saver on kwa upande wa mobile data ili kuzuia application zisifanye syncronization hata kama hazijafunguliwa.
Ila kwenye wifi huna haja ya kuweka data saver on.
Yeaaah natumia, ila naingiaga mara chache sanaa.Mtandao wa kijani, ume kaa kinyamwezi, reddit una tumia??
USI sahau na quora, ni nzuri piaYeaaah natumia, ila naingiaga mara chache sanaa.
Bas ngoja nitai search,USI sahau na quora, ni nzuri pia
Isitagiramu😎kwa siku, wiki, mwezi au mwaka kwa upande wako unaspend muda mrefu na bando kubwa zaidi ya data ukiwa kwenye ukarasa upi miongoni mwa kurasa nyingi tu, za mitandao ya kijamii humu duniani, mathalani Facebook, X, Instagram, JF nakadhalika?
na unatumia sana platform hiyo na data kubwa sana kwa ajili biashara yaani soko, kupata elimu na kuongeza uelewa na ufahamu wa mambo mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, kuburudika na kufarijika, kutafuta kazi, kutafuta wachumba na marafiki n.k ama unatumia kufanya nn zaidi?
binafsi kwasasa natumia zaidi JF, kisha X inafuatia kwa karibu sana.
yaani ukikosa bando ya data au internet ikizingua kidogo tu unakua mnyonge kweli kama vile umepungukiwa jambo kubwa zaid siku iyo.
platform nyingine binafsi sijui kutumia najaribu nashindwa kabisa 🐒
Ukijibiwa niTag.Mk
Nimeshindwa kabisa kuzuia video auto play in Instagram, niende kwenye setting gani?