Unatumia muda mwingi na bando kubwa zaidi ya data kwenye platform ipi ya mtandao wa kijamii?

Shukurani sana mkuu🤝
 
Youtube.

Infact situmii kitu social network nyingine zaidi ya JF, Reddit na Youtube. Jambo la msingi ni kuwa situmii kuangalia ujinga bali huwa najifunza mambo mengi sana kwenye channels za maana.
Mbona unaji defend...Unaweza kujiona huangalii ujinga lkn kwa mtu mwingine ni ujinga tu wote hata kuwa hapa JF n ujinga.
 
1.Twitter
2.Whatsaap
3. Jamii forums
4.Facebook
Instagram naingia mara moja moja sana na tiktok nilifutilia mbali maana inakula mb mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…