Unatumia sabuni gani kuogea?

Jamani geisha bado zipo hapahapa bongo nanunua kwa mangi 2500
 
Kinatumia shaza ukiogea povu lake utajaza bafu,kama ukitumia ndani ya week kama una ngozi ya mafuta au muchunusi yote inatoka unabakia na ngozi soft mno
kama unataka ujaribu ndo nnayo tumia pia naziuza sabuni moja 2000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
70% ya sabuni za nje ni fake nowdays. Tena ikiwa inatoka sana ndio utakuta ipo hadi no.3

Kabisa chief! Mie ni mtumiaji mkubwa wa hizi imperial kuna kipindi alikuja bimkubwa mmoja toka uingereza alikuja nazo imperial za huko aise arifu ni tofauti, hata jinsi inavyoisha ni tofauti pia.
 
Yah, Arusha, Kilimanjaro na Manyara ndio sabuni yao kuu hii. Pia kuna White wash nayo inatoka Kenya japo yenyewe sii maarufu kama JAMAA.
Na haina ubora kama jamaa.
 
Kitu cha Imperial kwa zaidi ya miaka 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…