Unatumia sabuni gani kuogea?

Naona viwanda vyao vimefufuka imekuja kwa jina jingine inaitwa sawa
Revola was the best hizi kampuni sijui kwanini huwa zinakufa na kulikua na mafuta ya kupakaa ya YU na Yolanda
 
Mimi wa uswazi Nilikuwa naogeshwa na mshindi mpaka nakua Nilikuwa na ongea mshindi nilivyoenda bording school nikaanza tumia sabuni ya rungu
 
Sisi tumetumia sabuni za mbuni, mshindi, komesha, komoa.
 
Dove zipo sema bei yake kubwa sh3000, ukiogea inanukia vizur kweli
 
Hivi kile kikaratasi cha kwenye "EMPERIAL" mbona huwa akiishagi au hakilowi na kuchanika! Utaoga weee utamaliza sabuni yako baada ya wiki 2 lakini kile kikaratasi pale kinabaki vile vile!
Sababu chini ya ile karatasi sio sabuni.
 
Mimi wa uswazi Nilikuwa naogeshwa na mshindi mpaka nakua Nilikuwa na ongea mshindi nilivyoenda bording school nikaanza tumia sabuni ya rungu
Mkuu sabuni inaitwa rungu, vipi sasa ukitaka kuosha makalio utaitumia kweli rungu
 
Dettol.
Tatizo langu nikishazoea bidhaa huwa mgumu sana kuchange ghafla
 
Kwa jinsi watu walivoitaja hiyo jamaa nami nimetamani kuijua au kama nimeshawahi itumia bac nahisi nimechanganyikiwa kwa kushindwa kuivutia taswira.. picha pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…