Unatumia sabuni gani kuogea?

Unatumia sabuni gani kuogea?

Tofauti ipo aisee

Huwezi fananisha harufu ya hizo na Jamaa hata kama zote ni sabuni

Kuna Mzungu alikuja ''summer trip'' shuleni tukiwa O-level akatugawia sabuni ya Dove for men na ya Nivea ya shower gel moja moja kwenye chupa kama hiyo.

Ile Dove sijawahi kuonaga tena bongo hata kwenye S'market mpaka leo na ukiogea ina harufu nzuri sana na hata usipojipaka mafuta inakung'arisha kama vile umejipaka, na Nivea naonaga tu body lotion na face wash.

Hmm...kweli? Labda ni mazoea tu.

Anywho, kila mtu ana olfactory system yake, hivyo, siwezi kukutalia sana.

Ila kwangu sionagi tofauti kabisa kati ya soap bar na liquid soap [bodywash].

Irish Spring soap bar na Irish Spring bodywash zenye scent ile ile kwangu huwa zinanukia sawa tu.
 
Shaza
IMG_20191114_201325_287.JPG
 
Back
Top Bottom