Unatumia unyunyu gani kwa sasa?

Unatumia unyunyu gani kwa sasa?

Saa yes tuko pamoja hapo ulevi wangu pia [emoji1376] nakumbuka niligombana na rafiki zangu niliponuanua s3 gear kwa milioni 1 na laki 2 nilikaa nayo miezi miwili tu nikaidondosha, ulevi mwingine simu hapo utaniua [emoji855]
[emoji38][emoji38]huu ulevi siyo poa yaani.Mpaka inabidi wakati mwingine hata mke akikuuliza hii saa/unyunyu ni sh.ngapi inabidi umuongopee maana ukinyosha maelezo tu ni ugomvi.

Mimi simu hapana sina mzuka nazo kivile.
 
Kiasi chochote cha pesa n mtaji wa mradi flan[emoji3].
Hata 5000 unayotumia kueka bando n mtaji wa kutosha sana kwa biashara flan dr.[emoji16].
Kikubwa uishi ndan ya uwezo ulionao.
Ila "Miguel" unaaisha flan hivi, nitumie namba yako 'PM
 
Back
Top Bottom