Unatumia wimbo gani kama ringtone kwenye simu yako?

Jamani kwani shule zimefungwa au wanafunzi wanaruhusiwa kwenda na sm shule siku hizi, au boom limetoka tayali vijana wanajaza bando tu nakuja na mada kama hizi
 
Hata sina sababu za msingi mkuu nadhani ni mazoea tu.

Madhara yake ni pale utapohisi mlio wa vibration hata kwa simu ya mwenzako lazima ujishike kwa mfuko usikikizie kama ndo yako inaita.
Ok
 
Jamani kwani shule zimefungwa au wanafunzi wanaruhusiwa kwenda na sm shule siku hizi, au boom limetoka tayali vijana wanajaza bando tu nakuja na mada kama hizi
[emoji3][emoji3][emoji23],Sisi viranja tunaruhusiwa simu
 
Back
Top Bottom