Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Ndio kwa kuamia, hapana kwa kugombea , akigombea siendi kupiga kura kwani lowasa na magufuli wote siwataki
 
Ndio kwa kuamia, hapana kwa kugombea , akigombea siendi kupiga kura kwani lowasa na magufuli wote siwataki
 
Nawaza tu hapa. Chadema wamekubali Lowasa anapitishwa then one week before uchaguzi anajitoa au kumuunga mkono Magufuli. Si bao la mkono litakuwa limetimia hilo kama Nape anavyosema! Tafakalini kwa umakini hapo
 
Wanaoafiki waseme ndio..."Ndioooooooooooooo"
Wasioafiki waseme sio..."Sioooooooooooooooo"
Wasiojua waseme hawajui..."Hatujuiiiiiiiiiiiiiii"
 
Ndio. Na kura nitampigia. Na nitakesha kuilinda kura yangu.

Saa ya kuweka CCM kiwe chama cha upinzani ndio huu. Nchi isonge mbele.
 
Ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo x 99e258
 
Nawaza tu hapa. Chadema wamekubali Lowasa anapitishwa then one week before uchaguzi anajitoa au kumuunga mkono Magufuli. Si bao la mkono litakuwa limetimia hilo kama Nape anavyosema! Tafakalini kwa umakini hapo
 
Ndio %100 Hata mwai kibaki KANU Ya kenya walimwita fisadi wakamtema wakampa uhuru kilicho wapata niabu kanu ipo maututi
 
Nawaza tu hapa. Chadema wamekubali Lowasa anapitishwa then one week before uchaguzi anajitoa au kumuunga mkono Magufuli. Si bao la mkono litakuwa limetimia hilo kama Nape anavyosema! Tafakalini kwa umakini hapo
Hili ni jambo ambalo hata mimi niliwahi kujiuliza labda nae abanwe kisheria vinginevyo kuna hatari ingawa bado naamini Lowassa kwa sasa hana hamu na CCM.
 
Hawa ndio watanzania waliopata bahati ya kusoma lakini sidhani kama elimu waliyoipata inawasaidi kutafakari na kuchambua mambo!

Mawazo yako ni ya karne ya 15 kurudi nyuma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…