Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
Naipenda sana chadema, lakini pasipo lowassa kusimama na kueleza kuhusu richmond kabla ya kusimamishwa kuwa mgombea,
SITAMPA KURA YNG NA NITAHAMA CHADEMA.
Ndiooo...
Haya waliosema ndio wameshinda....haya katibuu!!!!
hapana 1000%
Naunga mkono
Ndio. Na kura nitampigia. Na nitakesha kuilinda kura yangu.
Saa ya kuweka CCM kiwe chama cha upinzani ndio huu. Nchi isonge mbele.
damu za waliopoteza maisha kwa sababu ya cdm zitawaangamiza wote wanaoinjinia huu mpango,ole wenu iwe kweli,mnakufa mkitembea
Mwongoza wa spika tafadhari........
Haya tukae. Hahahahaa