Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Kwa mwanamabadiliko yeyote wa kweli atakubaliana na hili,kama ni kweli dhamira yetu ni kuitoa ccm madarakani
 

Hivi Cybercrime bill haijaanza kufanya kazi?! Umeshuhudia waapi akipokea hiyo 10B?? Acha uzwazwa wewe
 
Am a kweli sikio la kufa halisikii dawa. Ugonjwa mpya umejitokeza CHADEMA huwo ni Ebola Lowasa na dawa yk ipo CCM .....P MAGUFULI
 
Kwa hiyo CHADEMA ndio chama cha kujaa magamba yaliyovuliwa na CCM?
 
Kwa mwanamabadiliko yeyote wa kweli atakubaliana na hili,kama ni kweli dhamira yetu ni kuitoa ccm madarakani

Mkuu kumbe we shida yako ni kuitoa ccm madarakani tu? Mi nilidhani unataka maendeleo.
 

Sasa si uache kujadili!!
 
No jamani. Maswali Kwa wananchi yatakuwa magumu kujibu. Mafisadi watazidi kuwa na nguvu endapo kiongozi wao atashindwa
 
Lowasa akigombea UKAWA siku ya uchaguzi hadi ikifika saa sita mchana Magufuli chali, tutashinda asubuhi na mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…